Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu kiswahili kinakuwa sanaNdio matusi bandia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] upo huo tayari huko ulaya unapewa chakula chenye flavour fulani halafu ukijamba inatokea hiyo harufuIla watafanya kazi kuu modify USHUZI nao uwe wa bandia maana duh kuna ule wa buuuh huwa haunuki sana ila kuna ule wa fyuuuuu(telex)duh huu khatari sana Unachukua muda ku expire.
Maana hiyo telex khatari sana ili utoke vizuri inabidi unakuwa kama unaegemea pembeni kidogo kama wachezaji wanavyopigana vibega uwanjani.[emoji23] [emoji23] [emoji23] upo huo tayari huko ulaya unapewa chakula chenye flavour fulani halafu ukijamba inatokea hiyo harufu
Kugegedwa au kugegedana na kidoliHapo kwenye matusi bandia ufafanuzi ndugu mwenyekiti
Umesahau tabia bandiaZikafuatia kucha bandia, kope bandia, ngozi bandia, matusi bandia, makalio bandia.....najiuliza tu baada ya haya yote kitafuata nini?
Uasili unatoweka kwa kasi kubwa