Zilianza nywele bandia

Zilianza nywele bandia

kuna vitu vngne ngoja vibaki km vilivyo, INGEKUA HATA HAJA KUBWA INAWEZA KUA YA BANDIA si tungeleteana madharau sana mtaaani
 
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Hivi rangi bandia tayari vile[emoji38] [emoji38]
Maana cha kushangaza mama na baba wote weusi lakini mtoto miaka 20 kishakuwa mweupe mpaka baba yake anajiuliza sijui ilikuwa mbegu ya kinyonga?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Imani Bandia.
Sadaka Bandia.
Marehemu Bandia.
Vyeti Bandia.

Duuuh...! Eti nimejigundua mimi nae Bandia...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Imani Bandia.
Sadaka Bandia.
Marehemu Bandia.
Vyeti Bandia.

Duuuh...! Eti nimejigundua mimi nae Bandia...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jina
 
Back
Top Bottom