Zilianza nywele bandia

Lowassa bandia, kuzungusha mikono bandia... Ni hivyo tu sasa maana hakuna namna...
 
Hapo kwenye matusi bandia ufafanuzi ndugu mwenyekiti
 
Halafu wanaoongoza kuwa na vitu bandia wanataka vitumiwe na halisi
 
Zikafuatia kucha bandia, kope bandia, ngozi bandia, matusi bandia, makalio bandia.....najiuliza tu baada ya haya yote kitafuata nini?
Uasili unatoweka kwa kasi kubwa
Umesahau uwepo wa ashakum bandia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…