Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #81
Amin Sheikh Roshnee uko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mohammed Said
Unajua kama Al Jareau ametangulia mbele ya Haki leo?
Naomba nikurudishe kwenye miaka ya 70 hivi ndio alikuwa ametoa Albums mzuri zaidi kwa mtazamo wangu na albums zake 3 nizipendazo ni We Got By, kisha akatoa double album ambayo ilikuwa live na album yake ya 3 niliykuwa nikiipenda zaidi ni Look to the Rainbow, which I played the hell out of.
Kama unakumbuka ile tv show ya Moonlight ya 1980's bas utakumbuka hii nyimbo
You can't be seriousDah mkuu itakuwa vema kama ungenisaidia kupataa moja ya nyimbo zake inaitwa 'nothing gonna change my love for you'