Mohammed Said
Unajua kama Al Jareau ametangulia mbele ya Haki leo?
Naomba nikurudishe kwenye miaka ya 70 hivi ndio alikuwa ametoa Albums mzuri zaidi kwa mtazamo wangu na albums zake 3 nizipendazo ni
We Got By, kisha akatoa double album ambayo ilikuwa live na album yake ya 3 niliykuwa nikiipenda zaidi ni
Look to the Rainbow, which I played the hell out of.
Kama unakumbuka ile tv show ya Moonlight ya 1980's bas utakumbuka hii nyimbo