ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ule wimbo wa christmas wa marquis km sikosei kaimba mwenyewe KIng Kiki km sikosei unaitwa Bona ne m sijakosea. baadhi ya maneno yake kuna kibwagizo kinasema tunacheze kamanyola na marquis eeh christmas oyee nautafuta mnooo wadau
 
Mh... No please....unaitwa Hasira Hasara!

Watu wengi huzani ni Hasira Hasara lakini jina sahihi la huu wimbo ni Kilema Cha Maisha. Huu wimbo ulitoka kipindi kimoja na ule wimbo wa Sikinde (Hasira Hasara) ila baadaye kidogo, na Msondo kuepuka kuchanganya watu wakahamua kuuita hilo jina la Kilema Cha Maisha.
 
ule wimbo wa christmas wa marquis km sikosei kaimba mwenyewe KIng Kiki km sikosei unaitwa Bona ne m sijakosea. baadhi ya maneno yake kuna kibwagizo kinasema tunacheze kamanyola na marquis eeh christmas oyee nautafuta mnooo wadau

Siyo wimbo wa Maquiz, ni wimbo wa Safari Sound 'Masantula Ngoma Ya Mpwita.'
 
Msaada wenu wana jf msaada wa rekodi ya nyimbo hizi za zilipendwa online 1. DALILI-MSONDO NGOMA 2. CHEUSI MAGALA NO.1-OTTU JAZZ 3. MALARIA-MSONDO NGOMA 4. NIPELEKE KWA BABA NO.2-OTTU JAZZ 5. SI WAZURI BINADAMU-MLIMANI PARK ORCHESTRA Kama kuna mdau ataweza kuniaploadia online au anafahamu link ambayo nitaweza kuzipata nyimbo hizi, nitashukuru sana

Si Wazuri Binaadam, ni wimbo wa Ndekule (Orch. Safari Sound).
 
huo naujua unaitwa Noel hata Youtube uko. nnaouzungumzia kuna maneno kabsa yanasea tukacheze kamanyola na marquis ooh christmas oyee

Ni kweli ila na Masantula nao walitoa version yao mara King Kikii alipojiunga nao 1980. Kwa Masantula ulikuwa unaitwa Noelle - Bonne Annee!
 
Nyimbo za zamani tamu jamani. miaka ile ilikuwa RTD basi kila nikirudi toka shule saa sita njaa inaumaaa ule wimbo wa DDC mlimani Clara uko hewani basi nikiusikia leo naburudika mnoooo
 
Mkereketwa_Huyu asante sana.
Je unaweza kuwa na wimbo huu?

Mkuu wimbo unaitwa Hasira Hasara...waimbaji tx moshi, seargent nico zengekala, Suleiman masharubu mbwembwe na joselee lusungu.msondo ya ukwee wakati huo...

unapatikana katika milki yangu pia kwa $' €' £ au hata Shilingi...
 
Last edited by a moderator:
ule wimbo wa christmas wa marquis km sikosei kaimba mwenyewe KIng Kiki km sikosei unaitwa Bona ne m sijakosea. baadhi ya maneno yake kuna kibwagizo kinasema tunacheze kamanyola na marquis eeh christmas oyee nautafuta mnooo wadau

Oooh christmas bonane ooh
Oooh noele bonane ooh...

Unapatikana pia ktk milki yangu.
 
Last edited by a moderator:

CC: @FP....Zawadi ya Teja mwambie anyonye tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom