Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Nakupa mda sio mrefuJamani please mwenye wimbo wa Kindekunde wa Victoria Eleyson enzi za miaka 1993
Aminia mwanangu!Nakupa mda sio mrefu
Mtandao unasumbua jf app. inashindwa kutuma file ila usihofu itakujaAminia mwanangu!
Naku PM namba yangu unitumie whatsap bingwaMtandao unasumbua jf app. inashindwa kutuma file ila usihofu itakuja
Hiyo
kaka natafuta wimbo wa bobu ludala "julli"Hahaha Ahsante sana mkuu. Umenirudisha primary natoka class saa saba ugali wanisubiri.... Youtube haupatikani sijui ni kwa nini?
Julie mm ninayo nakupaje sasakaka natafuta wimbo wa bobu ludala "julli"
Kuna wimbo Sijui jinale Ila kuna mistari ipo naikumbuka kama hii "[emoji445]ona Sasa wivu wako nilikubembeleza, usiku mzima ubadili uamuzi wako nilijua waliokudanganya wako wapi, wamekuacha hunapakuanzia [emoji445]"unavyojitia kununa nuna bila sababu tutaja achana bure, nikuulizapo jambo huja juu, huja juu kipenzi changuu" huu wimbo ipo sauti ya gurumo,bichuka,. Hivi huu wimbo unaitwaje? na ulipigwa band gani? na mtunzi ni nani? pia mwenye audio yake anisaidie!
UjajuKuna wimbo Sijui jinale Ila kuna mistari ipo naikumbuka kama hii "[emoji445]ona Sasa wivu wako nilikubembeleza, usiku mzima ubadili uamuzi wako nilijua waliokudanganya wako wapi, wamekuacha hunapakuanzia [emoji445]
Kama utakuwa unaupata huu wimbo nimvuzishia jina lake
Poa bendi gani mkuuUjaju
Cna uhakika yaweza kuwa juwattaPoa bendi gani mkuu
Ukipata na mm nauombaCna uhakika yaweza kuwa juwatta