ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Ooh selina piga kondemoyo ooh selinaah napata tabu inekuea hvyo selina maalim gurumo
Umenikumbusha mbali sana mkuu....
Hii ngoma kila nikiwa tungi lazima niisikilize mara nikirejea kutoka bar..[emoji39]
 
Siri ni Yako,eee,,,,Eee siri... Ukimwambia mtu, siri hiyo 'siyo siri tena,,, *2...inanikumbusha mbali sana Wakuu,,,,
 
Siri yako ni siri mpeezi"
Siku moja nikachimba shimo nikamfukia paka"
Nikamwambia mke, nifukia mtu.
 
Shahidi angu ni mama watoto yeye anajuaaaa, Kwani hua anaona ninavyohangaika, Nawaelezea walimwengu myajue mateso yangu .....
 
Wimbo wa Aza na wimbo Penzi haligawanyiki hakika walitunga
 
Naomba mwenye wimbo wa Ngondoigwa wa bantu group
 
naombeni nyimbo za marijani wosia wa baba na mzee kalala nimekusamehe lakini sitokusahau, daaa nijaribu kuzitafuta mitandao yote nayojua sijazipata. natanguliza shukrani jaman nazipenda sana , msaada wenu kwa kweli
 
naomba mweye nyimbo za mzee kalala nimekusamehe lakini sitokusahau, marijani rajab wosia wa baba anitumie plz.
kwa kweli nazipenda sana.
hivi wakuu kipindi cha ujana wenu akina mama zetu walikua wanasumbua kama kina dada wa siku hizi wa age yetu?
 
Muongo...
Huo wimbo ulipigwa na bendi iliitwa Legho star...
Muimbaji ni Asosa bwana mdogo
naomba mweye nyimbo za mzee kalala nimekusamehe lakini sitokusahau, marijani rajab wosia wa baba anitumie plz.
kwa kweli nazipenda sana.
hivi wakuu kipindi cha ujana wenu akina mama zetu walikua wanasumbua kama kina dada wa siku hizi wa age yetu?
 
naomba mweye nyimbo za mzee kalala nimekusamehe lakini sitokusahau, marijani rajab wosia wa baba anitumie plz.
kwa kweli nazipenda sana.
hivi wakuu kipindi cha ujana wenu akina mama zetu walikua wanasumbua kama kina dada wa siku hizi wa age yetu?
naomba mweye nyimbo za mzee kalala nimekusamehe lakini sitokusahau, marijani rajab wosia wa baba anitumie plz.
kwa kweli nazipenda sana.
hivi wakuu kipindi cha ujana wenu akina mama zetu walikua wanasumbua kama kina dada wa siku hizi wa age yetu?
 
" wewe ndiye uliyeanza kwa kutaka eti tachane nilikubembeleza siku nzima ubadili uamuzi wako mama".Nautafuta sana huu wimbo.
 
Kuna wimbo unaitwa PAKA WEWE nahisi umeimbwa na Tnshala mwana, naomba mwenye nao auweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…