Soma post yangu #14 hapo juu.Nimeingia link hiyo nikadownload MB kama 110 hivi. Nimeenda kule kwenye downloads manager kucheki nmekuta,ila haifunguki. Nmerudi tena hapa kuingia link inaniambia nidownload tena. Nmechoka hoi!
Kuli Rename ndiyo technique siyo?!Mimi na play kwenye simu. Unakiwa hilo file ukisha lidownload uli rename hakikisha mwamisho liwe .mp3 waweza liita zilipendwa.mp3
Hii kitu ninayo ni kali saaana asee
Siyo wote mkuu. John Kitime Kida Wazir,Toto Tundu,Mghonazeru, Kalala, kutaja wachache bado wapo hai. Ni kweli ile squad matata ya Vijana Jazz wengi walitangulia,lakini hatuna jinsi ni kumuomba Mungu awarehem na kuwasamehe makosa yao tu.kWANINI SAFU YA WAIMBAJI KARIBU WOTE WALOTAJWA HAPO JUU 'WAMENUNA' WAMEFARIKI DUNIA?
Natafuta wimbo unaoitwa neema, ntaupataje?
Hata sijui imeimba bend ipi ila sio diomond sound, baadhi ya mashahiri ni"usipate tabu neema, "Unautaka Neema wa Sikinde wa Bima ama wa Diamond Sound?
Mkuu naomba uni add kwenye group hili la nyimbo za zamani kwa namba hii 0715 366 407 whatsapp. Natangukiza shukran!TUNALO GROUP KWA AJILI YA NYIMBO ZOTE ZA ZAMANI ZA HAPA NAZA NJE KWA HYO NICHEKI PM NIKUADD AU WEKA NAMBA YKO HAPA