ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Nimeingia link hiyo nikadownload MB kama 110 hivi. Nimeenda kule kwenye downloads manager kucheki nmekuta,ila haifunguki. Nmerudi tena hapa kuingia link inaniambia nidownload tena. Nmechoka hoi!
Soma post yangu #14 hapo juu.
 
kWANINI SAFU YA WAIMBAJI KARIBU WOTE WALOTAJWA HAPO JUU 'WAMENUNA' WAMEFARIKI DUNIA?
Siyo wote mkuu. John Kitime Kida Wazir,Toto Tundu,Mghonazeru, Kalala, kutaja wachache bado wapo hai. Ni kweli ile squad matata ya Vijana Jazz wengi walitangulia,lakini hatuna jinsi ni kumuomba Mungu awarehem na kuwasamehe makosa yao tu.
 
Top Queen Vijana Jazz

Huu wimbo nadhani baadaye prof j aliuiga na kuimba Zali la mental
 
Wadau kuna nyimbo inaitwa ujanja wa mkasi mwenye nayo please aitupie humu
 
1.Wanafunzi wa sekondari jitegemee kuvaa kaptura zilipendwa
2.Kutumia simu ya motorola zilipendwa
3.kununua nguo za ckukuu zilipendwa
4.Tatizo kwetu mbagala zilipendwa saiv tatizo kwetu Vingunguti
5....................tupia na nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee mzima kurudi kwenye game kisha kuanzisha mabifu na wenzake ZILIPENDWAAA
 
Back
Top Bottom