ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Kuna ule wimbo unaimbwa hivi

"Nampenda mpenzi wangu katu simwachiiii
Mtasema mtachoka hatokii.
Lala la lala lala

Mtasema mtachoka hatokii."

Unaitwaje huu wimbo?

-Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee dondosha kwenye blog yako kibao matata cha papii kocha kinaitwa "pacha wangu" kinakumbusha mbali aisee
 
...nyimbo moja ya Saida kaloli naitafta kaimba cjui Chalimtu yan daaaaa naitafta sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…