ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Kuna ule wimbo unaimbwa hivi

"Nampenda mpenzi wangu katu simwachiiii
Mtasema mtachoka hatokii.
Lala la lala lala

Mtasema mtachoka hatokii."

Unaitwaje huu wimbo?

-Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee dondosha kwenye blog yako kibao matata cha papii kocha kinaitwa "pacha wangu" kinakumbusha mbali aisee
 
Back
Top Bottom