ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Habari, nimejaribu kufungua link imegoma. Kuna jinsi nyingine ya kuingia!
 
Nimeingia link hiyo nikadownload MB kama 110 hivi. Nimeenda kule kwenye downloads manager kucheki nmekuta,ila haifunguki. Nmerudi tena hapa kuingia link inaniambia nidownload tena. Nmechoka hoi!
ipo shida kwenye kudownload file
 
Dah mambo ya wami bar mwananyamala, waimbaji hapo wote ni marehemu mzee Rusungu, Akida, Dede na Kitambi
 
Sabalakheri waungwana...

Kuna dogo mmoja kaimba kawimbo kanaitwa "Zilipendwa"

Waweza kukuta hata hawa hajawahi kuwasikia....



Wahenga: Mtambuzi KakaKiiza Kaizer, Bigirita Dark City mshana jr PakaJimmy Arushaone Blaki Womani , Sky Eclat MwanajamiiOne snowhite gfsonwin Nyani Ngabu Kasie KARIA MENGELENI KWETU BAK et el mnaifahamu hii cabinet???

Hapa vitoto kama Daby Shunie, espy Ms.Lincoln Inna Evelyn Salt Madame B vilikuwa bado vinakojoa kitandani...

Enzi za Empire, Cameo, New Chox, Drive Inn et el... enzi za Silent Inn, DDC Magomeni, Tazara(hapa najua kuna watakaojifanya waliikuta), Klm Hotel Poolside, New Africa .......... Dah!!

CC Sakayo emmyta

Ahsante Grants kwa ufunuo huu...

Wasalaam, ODM.













 
Hujaniita lkn nimefika wa kwanza..hapo sijakuta hata moja[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…