ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Kuna issue ilitokea ndiyo maana nili ibadili
Kutongozwa si jambo la kawaida tu?
acfn8o.jpg
 
Hahahaha babuu umenikumbusha enzi za vijana social hall pale mwanzo wa barabara ya kwenda mwananyamala.

Niliokuwa nawahusudu enzi hizo ni ;
. Moshi William, Eddy Sheggy na Kitime. Hapo umemsahau Maneti na Chidumule. Basi hapo aaah nayarudi hadi majogoooo. Hivi kumbe kupopo nilianza zamani eeeh.

Bila kumsahau solo wao Kida Waziri. Asante kwa zilipendwa babuu.
 
Rushia picha yako moja umevalia masantula basi...
 
Back
Top Bottom