Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kutongozwa si jambo la kawaida tu?Kuna issue ilitokea ndiyo maana nili ibadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutongozwa si jambo la kawaida tu?Kuna issue ilitokea ndiyo maana nili ibadili
hapo sawa.
Hivi Juma Kakele si bado yupo?
![]()
Nipo counter ya juu huku
Apo namfaham mzee Kitime tuu
Hivi kipindi hicho kijana kwenda club ilikuwa inachukuliwaje?Hizo ndo enzi zetu... Nakuona we na ndugu yako Bonny mmetokelezea na mitindo yenu ya kisasa
View attachment 680963
Club gani sasa? Enzi hizo hakuna club kama hizi zenu hivi sasa...Hivi kipindi hicho kijana kwenda club ilikuwa inachukuliwaje?
Siku hizi ni kawaida mtoto anamwaaga hata mzee.
Rushia picha yako moja umevalia masantula basi...Hahahaha babuu umenikumbusha enzi za vijana social hall pale mwanzo wa barabara ya kwenda mwananyamala.
Niliokuwa nawahusudu enzi hizo ni ;
. Moshi William, Eddy Sheggy na Kitime. Hapo umemsahau Maneti na Chidumule. Basi hapo aaah nayarudi hadi majogoooo. Hivi kumbe kupopo nilianza zamani eeeh.
Bila kumsahau solo wao Kida Waziri. Asante kwa zilipendwa babuu.