ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Bora umbembeleze maana akienda kuwaamsha wale jamaa zake, hakuna rangi hatutaacha kuiona...

Aahahahahahahahaaaa utu uzima dawa babuuu wakija tunawaachia jukwaa tunahamia Dodomaa makao makuu kwa Prime Minister.
 
Hahahahaha nimecheka mpk kidogo nipaliwe na Grants wallah

Pozi la msukuma nalikubali

Aahahahahahahahaaaa halafu babu weewee

Hii picha ya mnyamwezi na msukuma umeitoa wapi? Gauni.... pozi..... miguu. ...... mmmhh baaabuuuuu.
 
Mi wasukuma nimewavulia kofia... Sasa hapa walienda studio na mbuzi ili nini hasa???

Aahahahahahahahaaaa halafu beberu hilo ujueeee

Mwenye we anasemaga anapenda kunusa kama beberu anavonusaga halafu anabinjua pua kama beberu aahahahahhahaa

Umenikumbusha mbalii looh.
 
Aahahahahahahahaaaa halafu beberu hilo ujueeee

Mwenye we anasemaga anapenda kunusa kama beberu anavonusaga halafu anabinjua pua kama beberu aahahahahhahaa

Umenikumbusha mbalii looh.
Huyo mbuzi alikuwa mstaarabu sana... mbuzi jingine lingeleta msala...

Watu walikuwa hawataki mchezo na maswiitihati wao bhana...
 
Huyo mbuzi alikuwa mstaarabu sana... mbuzi jingine lingeleta msala...

Watu walikuwa hawataki mchezo na maswiitihati wao bhana...

Looh mahaba mahabatan......

Kubambiana bampa to bampa hehehehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…