ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

23 Jan 2021
Vulindela (Vuli) Yeni, South African renowned saxophone player

Grew up in Tanzania, played with Dar es Salaam based bands namely The Rifters , Safari Trippers Sokomoko, Boma Liwanza, The Revolutions now The Kilimanjaro wana N'jenje band. From Tanzania moved to Salisbury now Harare in Zimbabwe joined Heart Mind & Creation band and moved to South Africa and joined the band called The Slaves which was Lucky Dube's backing band
Source : Club Calabash
 
ATOMIC JAZZ BAND - JOYCE

Mzee Steven John Hiza, Maximillian Bushoke, Atomic Jazz - Joyce
Source : BUSHOKE MUSIC BAND
 
Usinicheke - Dekula Band formed by ex Marquiz Original band members

Live at Pub Stampen Stockholm Sweden

  • Lead guitar: Dekula Kahanga Vumbi
  • Rythm guitar: Göran Larsson
  • Bass: Petit Jose Bass
  • Drums: Lalo Cissokho
  • Vocalist: Gaby Nkomba Kababa

Video source : Dekula Kahanga
 
Band yangu ya mda wote kwa hapa bongo ni mchinga sound wana kipepeo kwa DRC ni Wenge Bcbg 4x4 ikiwa na watu kama JB MPIANA WERASON DIDIE MASELA ADORF DOMINGWEZI ALAIN MAkABA MPElA AIMELIA BLESEBULA TOTO KARONJI na wengine kibao hapo ndo huwa natulia
 
Salama wakuu?,ni jumapili nyingine tulivu....

Leo naomba tujikumbushe bendi zetu zilizotamba sana miaka ya 80 na 90,bendi ambazo ama zimekufa ama zinaendelea kusuasua na ambazo ukisikiliza muziki wake leo hii unatamani ungerudisha wakati nyuma.

Kwa kuanzia tuanze na hawa Orchestra Vijana Jazz,bendi ambayo ilikuwa ikimilikiwa na Umoja wa vijana wa CCM,bendi hii ilikuwa ikitumia mitindo ya Sindimba, Hekaheka, Heka koka, Watoto wa nyumbani, Air Pambamoto (awamu ya kwanza na ya pili) na baadae mtindo wa Saga Rhumba.

Kwangu mimi bendi hii ndiyo ilikuwa chaguo langu hasa. Ukitaka kuujua ukali wa bendi hii sikiliza nyimbo kama Chiku, Mary Maria, Penzi lamea penye penzi,Shemeji,Bujumbura,Ilikuwa lifti,Tambiko la Pambamoto, Adza(Aza), Ngapulila, Ogopa Tapeli, Mwisho wa Mwezi, Penzi haligawanyiki,Wivu, Malaine, Nyongise, Shoga,Theresa, V.I.P, Mama Chichi na nyingine nyingi tu tamu.

Bendi hii imewahi kuundwa na wanamuziki kama Hemed Maneti 'Chiriku', Hamza Kalala 'Komando', Manitu Mussa, Issa Chikupele, Hassan Dalali, Hassan Shaw, Ally Jamwaka, Abuu Semhando, Bakari 'Baker' Semhando, Mhina Panduka 'Toto Tundu', Adam Bakari 'Sauti ya zege', Eddy Sheggy, Shaban Yohana 'Wanted', Rashid Pembe 'Profesa', Kida Waziri,Beno Villa Anthony,Rahma Shally,Jerry Nashon 'Dudumizi',Suleiman Mbwembwe,Shaban Dogodogo,Aggrey Ndumbalo, John Kitime, Abdallah Mgonahazelu, Freddy Benjamin, Mohammed Gotagota, Said Hamis 'Misukosuko', Athumani Momba na wengine kibao.

Habari zaidi, soma=>Mashairi ya Kiswahili ya Nyimbo zote za Maquis du Zaire
Du! Kumbe Hassan Dalali (aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Simba) alikuwa mwanamuziki nguli? Kumbe huyu jamaa ni kichwa aisee!!!
 
Mkuu nyimbo za kale hazijuchi na zinavutia kuzisikiliza na kuzicheza. Sasa hivi wamekuja hawa wahuni akina Dayamondi na magenge yao ya watoto wanatuimbia nyimbo za ngono, wameuharibu muziki wetu kabisa. Naomba serikali iingilie kati.
 
Kasaloo Ndio yupi hapa?!
Image result for kasaloo kyanga

Image result for kasaloo kyanga

Image result for kasaloo kyanga

Image result for kasaloo kyanga

Kasaloo Kyanga was a Congolese musician, guitarist, and composer. Kyanga's compositions, including the hit song "Masafa Marefu", composed with Tancut Almasi Orchestra, continue to be performed by musicians. His other hit songs include "Nimemkaribisha Nyoka", "Butinini", "Kashasha", and "Kambwembwe". Wikipedia
Born: 20 May 1957, Kisangani, Democratic Republic of the Congo
Died: 9 September 2011, Tanzania
Partner: Jane Butinini
Children: Jonstar Official

1624129108338.gif
 
Port-au-Prince, Haiti
Septan live : Pa Akizem. Odanio Snhow time

Orchestre Septentrional dJazz Rhumba genre : Haiti Creole : Ricardo pianist
Source : klass H promo

Source : Orchestre Septentrional
 
Mheshimiwa, kwa kweli nimekukubali.
Najaribu kuukumbuka wimbo wa Almasi, lakini maneno yanakuja halafu yanapotea.

Kulikuwepo na wimbo mwingine naukumbuka, ila nimesahau ulipigwa na nani (labda akina Hemedi Maneti au labda UDA wana bayankata), nafikiri ilikuwa kati ya 80-83.
Baadhi ya maneno yake yalikuwa hivi:

Safiri salama na usalimie wote,
Na ukifika salama nijulishe majibu mapema.

Salaam sana kwa baba, salaam sana kwa mama,

uwaeleze sijambo oh,
Lakini nakonda kwa gubu ya mume.

Jambo dogo kwake kubwa, atasema kutwa nzima,
Na usikuuu hatulali.

Hakina ninachokosa hapa nyumbani.
Kama chakula ninakula mpaka natupa.
Toka vitenge mpaka khanga hazinipiti,
Ila gubu tu la mume.....

Hizo zilikuwa enzi za kusikiliza RTD. Wenyewe tuliridhika na umaskini wetu, tukawa tunafurahia muziki wa dansi.
Habari. Wimbo huu unaitwaje na uliimbwa na bendi gani?
 
Wanajamvi naomba anaefahamu wimbo unaimba agututugu sikinde jina lake halisi
 
09 August 2021

NDOA YA MATESO (cover) Lejendari MARIJANI RAJABU

Kisauji and Babloom band live at Tiffany Diamond Hotel Makunganya street Dar es Salaam POSTA doing bomboka music Genre Bomboka Tanzania Marijan Rajabu Dar International.
Source : Babloom Kisauji
 
BG up sana mdau umechangamsha bongo yangu jamaa wanaweza kweli kweli
 
bagamoyo kuna wimbo kaimba Remmy Ongala anasema akinywa gongo anafanya sana kazi kama unaujua jina lake naomba utupie hapa.
 
bagamoyo kuna wimbo kaimba Remmy Ongala anasema akinywa gongo anafanya sana kazi kama unaujua jina lake naomba utupie hapa.
Huo sijawahi kuusikia wala katika maktaba za nyimbo walizohifadhi wazee wangu haipo. Ngoja niingie chimbo la intaneti labda utaibuka.
 
Huo sijawahi kuusikia wala katika maktaba za nyimbo walizohifadhi wazee wangu haipo. Ngoja niingie chimbo la intaneti labda utaibuka.
Hebu nitaftue wimbo huu " enyi wote wakezangu mapenzi yangu kwenu ni sawa mpendane ndio heshima ya ndoa ee"
Kama sikosei uliimbwa na vijana jazz, umaarufu wake ni kesi ya bata
 
Nisaidieni waungwana kuna wimbo ambao sikumbuki jina lake wala bendi iliyoimba ila una maneno".....Mara ya kwanza umeniomba tucheze.....muziki wa kwetu siwezi kukataa.....Mara ya pili umerudia tena ......sio kwa kucheza ila kunifinya jicho......uliza kwanza kabla ya kufanya upuuzi wako bwana weeee....mimi ni mke wa mtu......nimekuja kucheza ,nimekuja kufurahisha mwili wangu bwana weee....."TAFADHALINI SANA kwa anayekumbuka music wa bendi zetu za zamani JINA LA WIMBO na BENDI iliyoimba ANISAIDIE.
 
Natafuta nymbo ya msanii mmoja jina silijui ila kwenye nyimbo hyo chorus yake anaimba " I'm gonna miss you on Monday Tuesday miss u Wednesday
 
Back
Top Bottom