Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Old is Gold
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia kuna Orch. Marquiz Original,kundi hili liliundwa miaka ya 70 na wanamuziki waliotoka katika jimbo la Shaba nchini Zaire(DRC) waliingia nchini wakiitwa Orchestre Super Gabby,baada ya kuingia nchini walibadilisha jina na kuanza kuitwa Orchestra Maquis du Zaire/Marquis Original.....Mitindo waliyoitumia ni pamoja na Ogelea Piga Mbizi,Zembwela na Sendema.....Ukumbi waliokuwa wakipiga(uwanja wao wa nyumbani) ni Lang'ata Social Hall pale Kinondoni(FM Club ambapo kwa sasa ni kanisa).....Hawa pia walikuwa wanaujua muziki hasa kutokana na aina ya muziki mchanganyiko wa kizaire(kavasha) na vionjo vya kitanzania walivyopiga....
Bendi hii ilitamba na nyimbo nyingi sana,nyimbo kama Mayanga,Ngalula,Makumbele,Mpenzi Luta,Mpenzi Scola,Karubandika,Seya,Tipwatipwa,Kisabengo,Wakati nilikuwa mdogo,Bi Sofia,Hali ngumu,Ni wewe pekee,Kibulwa,Huba wangu,Mapenzi sio masihara,Wanaume wa leo,Clara,Mayasa,Wema wangu,Double double,Mabruki,Anjelu,Balimwacha,Kazi yangu Baharia,Mapenzi ya pesa na nyingnie nyingi....Hawa jamaa wanaweza kuwa wanaongoza Tanzania kwa kuwa na nyimbo nyingi sana....
Bendi hii imewahi kuwa na wanamuziki kama Tshimanga Kalala Assosa,Issa Nundu,Mukumbule Lulembo 'Parash',Mbuya Makonga 'Adios',Ilunga Banza Mchafu.Dekula Kahanga 'Vumbi',Bobo Sukari,Fredito Butamu,Mbwana Kocks,Kabea Badu,Mutombo Lufungula Audax,Matei Joseph,Kaumba Kalemba,Mukuna Roy,Berry Kankonde,William Maselenge,Seif Said,Nguza Vicking,Kyanga Songa,Kasaloo Kyanga,Kiniki Kieto na wengine kibao..............
Hakika ya kale ni dhahabu...
Neema..DDC Mlimani ParkMsaada,kuna nyimbo naitafuta ila sijui kaimba nan na inaitwaje ila nakumbuk baadhi ya mashair yake km,
[emoji444]Ipo siikuuu_ mpenzi maua.
Nitakuja kwa wazazi wakoo_mpenzi upepoo.
Sina neno mm,kwakua najua,huyo n mzazi mwenzio mpenzi mauaaaa[emoji444]
Asant sn mkuu[emoji120][emoji120]Neema..DDC Mlimani Park
Mkuu bado nasubiri wimbo wa "Wifi twende nyumbani" wa Tucta Almasi. Nitashukur sanaUpo we Mzee??
Upo humu...Angalia page ya 7 ya thread hii...Uliwekwa tangu mwaka 2012.Mkuu bado nasubiri wimbo wa "Wifi twende nyumbani" wa Tucta Almasi. Nitashukur sana
Balantanda nakosa meeeengi.Nazitafuta hii taarabu yenye baadhi ya maneno,,"Na hili pia kaseme acha kujishaua×2,Lile lilompa kideku maungoni likakufikia aaah,umeumepanda umeshuka kwangu hukuona ndaniiii.
Mwenye nayo anisaidie ikiwezekana album nzima.
Pili dar morden taarabu-vijimambo nahita full album.
Natanguliza shukrani.
Mkuu Balantanda nashukur sana kwa jibu lako, ila nilichokuwa naomba uniwekee japo link ya video au audio ya kuusikiliza kwa sauti. Ubarikiwe sana mkuu wangu 🙏Upo humu...Angalia page ya 7 ya thread hii...Uliwekwa tangu mwaka 2012.
Hiyo band ilikuwa inaitwa Tancut Almasi ikiwa inamulikiwa na kiwanda cha kukata Alimasi kilichokuwa Iringa.Mkuu bado nasubiri wimbo wa "Wifi twende nyumbani" wa Tucta Almasi. Nitashukur sana
Usikilize hapaMkuu Balantanda nashukur sana kwa jibu lako, ila nilichokuwa naomba uniwekee japo link ya video au audio ya kuusikiliza kwa sauti. Ubarikiwe sana mkuu wangu 🙏
Wana Fimbo Lugoda....Kinye Kinye Kisonzo...Tisa Kumi MangalaHiyo band ilikuwa inaitwa Tancut Almasi ikiwa inamulikiwa na kiwanda cha kukata Alimasi kilichokuwa Iringa.