wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Mkuu nimeupata unaitwa" wewe ndiye uliyeanza kwa kutaka eti tachane nilikubembeleza siku nzima ubadili uamuzi wako mama".Nautafuta sana huu wimbo.
MINOU
Band
Maquis original
Tubidy upo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimeupata unaitwa" wewe ndiye uliyeanza kwa kutaka eti tachane nilikubembeleza siku nzima ubadili uamuzi wako mama".Nautafuta sana huu wimbo.
Mbona najaribu kuutafuta siupati.Naomba link.Mkuu nimeupata unaitwa
MINOU
Band
Maquis original
Tubidy upo
Upo sema lazima utumie tubidy au waptrick mkuu [emoji821] link ni ngumu simu yangu ubongo wake ni mdogoMbona najaribu kuutafuta siupati.Naomba link.
Bado jitihada za kuupata zinagonga mwamba.Upo sema lazima utumie tubidy au waptrick mkuu [emoji821] link ni ngumu simu yangu ubongo wake ni mdogo
Ebu nipe link, ninezitafuta hamna kitu!Ingia YouTube...then download
Hizi nyimbo zinapatikanaje?Salama wakuu?,ni jumapili nyingine tulivu....
Leo naomba tujikumbushe bendi zetu zilizotamba sana miaka ya 80 na 90,bendi ambazo ama zimekufa ama zinaendelea kusuasua na ambazo ukisikiliza muziki wake leo hii unatamani ungerudisha wakati nyuma.......
Kwa kuanzia tuanze na hawa Orchestra Vijana Jazz,bendi ambayo ilikuwa ikimilikiwa na Umoja wa vijana wa CCM,bendi hii ilikuwa ikitumia mitindo ya Sindimba,Hekaheka,Heka koka,Watoto wa nyumbani,Air Pambamoto(awamu ya kwanza na ya pili) na baadae mtindo wa Saga Rhumba.....
Kwangu mimi bendi hii ndiyo ilikuwa chaguo langu hasa......Ukitaka kuujua ukali wa bendi hii sikiliza nyimbo kama Chiku,Mary Maria,Penzi lamea penye penzi,Shemeji,Bujumbura,Ilikuwa lifti,Tambiko la Pambamoto,Adza(Aza),Ngapulila,Ogopa Tapeli,Mwisho wa Mwezi,Penzi haligawanyiki,Wivu,Malaine,Nyongise,Shoga,Theresa,V.I.P,Mama Chichi na nyingine nyingi tu tamu....
Bendi hii imewahi kuundwa na wanamuziki kama Hemed Maneti 'Chiriku',Hamza Kalala 'Komando',Manitu Mussa,Issa Chikupele,Hassan Dalali,Hassan Shaw,Ally Jamwaka,Abuu Semhando,Bakari 'Baker' Semhando,Mhina Panduka 'Toto Tundu',Adam Bakari 'Sauti ya zege',Eddy Sheggy,Shaban Yohana 'Wanted',Rashid Pembe 'Profesa',Kida Waziri,Beno Villa Anthony,Rahma Shally,Jerry Nashon 'Dudumizi',Suleiman Mbwembwe,Shaban Dogodogo,Aggrey Ndumbalo,John Kitime,Abdallah Mgonahazelu,Freddy Benjamin,Mohammed Gotagota,Said Hamis 'Misukosuko',Athumani Momba na wengine kibao...
YouTube....andika DDC Mlimani Park au Msondo Ngoma.....itakuletea list ya nyimbo zake...Ebu nipe link, ninezitafuta hamna kitu!
Habarini, leo nimepanda daladala nikasikia nyimbo mbili za bendi fulani za zamani, nilikuwa dogo ila nilikuwa najitambua! Nimeusikia wimbo huu nimekumbuka mbali sana tabora, nimeshawishika nitafute hizi nyimbo na zingine za kina hamza kalala komando ila sijui pa kuzipata.
Nimesikia hizi nyimbo mbili chini ktk daladala ila sizijui majina wala walioimba nikajikuta nimesafirishwa mpaka miaka ya 90s.
-Bwana mwangusi nakupa pole sana watu hao ni walaghai wanaitwa matapeli......
Mwingine huu;
-hunijali kwa chumvi hunijali kwa sukari tabu nyingi ninapata na watoto......
-Vijana wengi hukosa adabu iieee wakishajua huyo si mama yake ieeee humdharau na kumsimanga iiieeeee.......
Old is gold!!
cc Balantanda anaweza kutusaidia kupata huu wimbo wa MINUO YA MAQUIS DU ZAIRE ORIGINAL mkuu naomba msaada wako Kwa hisani yako kiuungwana tuKuna mwingine unasema "wengi wamelazwa hospitalini na kuwekewa P.O.P shauri yako Hawae,Hawae P.O.P aah P.O.P......"
Nani anakumbuka umepigwa na nani?