Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Mkuu info@mtokambali.comSafi sana ushauri toa e mail au namba za simu ili wadau waweze kutumia nyimbo nyingine ambazo wanazo kwa kupitia whatsapp au e mail
Sawa mkuu, basi naomba hii email ukaiongezee katika uzi wako uko juu itakuwa vizuri zaidiHapa Mkuu info@mtokambali.com
tatizo zinafaa Kudownload??? Huu n mwanzo tuu maana kuna collection hatari inadondoka.Nyimbo nilizoziona karibu zote zipo mitandaoni muda mrefu,lakini hongera
Poa poa MkuuNami nazisubiri japo ninazo kadhaa
AyeeeeeeeWazee wa zamani tupo
Tupo Tutaenda wapi Sie. Vijana wamesahau Muziki mzuri wanakimbilia vya Wazungu tuuWazee wa zamani tupo
Safi sana.....na huu ndio muziki.Amani Iwe nanyi wakuu,
Baada ya Kuteseka na Kuhangaika huku na kule mitandaoni nikitafuta ni wapi nitapata Ku-download ngoma zote za hapo kitambo na kukosa, basi nimeona nifungue Blog yangu ZILIPENDWA ambapo kila muda naweka Nyimbo mbali mbali zilizowahi kuwika hapa Barani Africa. Nyumbani ndio kwa Sana.
Hivyo basi wale wadau wote wa Muziki wa Kale Tukutane >>> HAPA <<<
Wadau wote wa KILWA JAZZ, MSONDO, JUWATA, SUPER RAINBOW, TABORA JAZZ, SUPER MATEMBELE, IN AFRICA, MASHROOM, LESS WANYIK/SIMBA WA NYIKA nk BOFYA >>> HAPA twende Pamoja.
Shukran.
mkuu wait niko nayo hapa ngoja niipandishemm nataka nyimbo ya wagosi wa kaya wauguzi msaada..
AyeeeeeAsanteeee mkuu,oooh salimaaa"Papii kocha"
Yeah mziki Mzuri kwa watu wazuri au sio??Safi sana.....na huu ndio muziki.
fanya ivyo..mkuu wait niko nayo hapa ngoja niipandishe