Katika kumkumbuka Shaban Dede aliyefariki leo..Tujikumbushe nyimbo zake hizi zilizotamba
Bimalee. Daaa kifo hiki jamani,basi tu ndo mipango ya Mungu. R.I.P Mzee Dede.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika kumkumbuka Shaban Dede aliyefariki leo..Tujikumbushe nyimbo zake hizi zilizotamba
Furaha..Mkuu Balantanda,naomba wimbo aliouimba Dede na Sikinde Album ya Huruma kwa Wagongwa.
Wimbo-Furaha.
Pia kama hutojali,tuwekee na ule wimbo wa Kumbuka Fadhila nao ni Sikinde.(Maudhui kumsomesha mpenzi halafu akakutosa)
Kwa hakika kizaz cha magwiji kinapukutika jamani. Ukiangalia watu wanavyotangulia,kwa hakika dunia ni mapito tu na inabidi tumuogope sana Mungu,tutendeane wema sana binadamu.
Dede ameimbaManeno Maneno
[HASHTAG]#TributeToShabanDede[/HASHTAG]
0625656799TUNALO GROUP KWA AJILI YA NYIMBO ZOTE ZA ZAMANI ZA HAPA NAZA NJE KWA HYO NICHEKI PM NIKUADD AU WEKA NAMBA YKO HAPA
Ahsante sana kaka. Nmejikuta niko nasikiliza huku naangali ukutani,nilichokua naangalia kitu ila sioni kwa hisia zilizonijia kuhusu wimbo huu. Kwa kweli wimbo huu umenipa mawazo ya aina mbili. Moja ni kifo cha Dede na pili ni kisa cha kweli kwa wife.Furaha..
[HASHTAG]#TributeToShabanDede[/HASHTAG]