ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Mkuu Balantanda,naomba wimbo aliouimba Dede na Sikinde Album ya Huruma kwa Wagongwa.
Wimbo-Furaha.
Pia kama hutojali,tuwekee na ule wimbo wa Kumbuka Fadhila nao ni Sikinde.(Maudhui kumsomesha mpenzi halafu akakutosa)
Kwa hakika kizaz cha magwiji kinapukutika jamani. Ukiangalia watu wanavyotangulia,kwa hakika dunia ni mapito tu na inabidi tumuogope sana Mungu,tutendeane wema sana binadamu.
 
Furaha..

[HASHTAG]#TributeToShabanDede[/HASHTAG]
 
Attachments

Halafu kuna ule wimbo sijui kaimba nani?mashairi yake;
Aeeee Maria eee bembeleza mwana mamaaaa,msitu mkubwa tutaliwa na simbaaa.....
 
Shaban Dede pia aliukoleza wimbo huu mtamu na maarufu wa Nachechemea uliotungwa ba kuimbwa na Huseein Jumbe...
 
Attachments

BALANTANDA,yooo imenikumbusha mengi ,ahsante mno kipindi nchi imetulia,ina heshima na adabu,kwangu mpaka nitakapokwenda kwenye mapumziko yangu ya milele ni Mlimani Park orch.wana Sikinde ngoma ya ukaye,wakipiga pale Magomeni Kondoa kipindi hicho ,mara baada ya dansi kwisha taratibu unavuka bonde lako la magomeni,unaibukia mkwajuni huyoo hadi kinondoni shamba hakugusi mtu ni vicheko njiani huhitaji taxi wala nini only miguu yako,whats went wrong ndani ya nchi yetu ?now unajifikiria kutembea kutoka pale Saigon hadi Narungombe just few meters away.
 
Ukiwa kimwaga unaitwa bwegeee ukibana matumizi unaitwa mkono wa korosho mamaee
 
Furaha..

[HASHTAG]#TributeToShabanDede[/HASHTAG]
Ahsante sana kaka. Nmejikuta niko nasikiliza huku naangali ukutani,nilichokua naangalia kitu ila sioni kwa hisia zilizonijia kuhusu wimbo huu. Kwa kweli wimbo huu umenipa mawazo ya aina mbili. Moja ni kifo cha Dede na pili ni kisa cha kweli kwa wife.
Tuseme tu ni mipango ya Mungu,tumuombee tu Mzee Dede(R.I.P)
Ni ngumu sana kupata msanii ambao wimbo wake unatouch real life.
 
Sasa Zomboko na Mwaipaya wemeweka Bimalee-Redio One. Dede alikua ana kipaji sana
 
Kuna wimbo wa Zilipendwa unaitwa Chaurembo nautafuta sana wadau, nahisi ni wa Vijana Jazz
 
Back
Top Bottom