Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
#HABARI Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Geita, linamshikilia Shelida Ibrahim (20), mkazi wa mtaa wa Mkoani Halmashauri ya Mji Geita, kwa kosa la kuwapigia simu zimamoto na kuwaambia kuna tukio la moto na baadae akazima simu yake kwa lengo la kujifurahisha na kusababisha jeshi hilo kuingia hasara ya kuwasha magari na kukimbilia eneo ambalo walidanganywa.
Shelida alipiga simu kwenye namba ya dharura 114.
#AwadanganyaZimamoto
#EastAfricaTV
Shelida alipiga simu kwenye namba ya dharura 114.
#AwadanganyaZimamoto
#EastAfricaTV