Zimamoto Geita wazima uongo wa binti mdanganyifu

Zimamoto Geita wazima uongo wa binti mdanganyifu

#HABARI Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa wa Geita, linamshikilia Shelida Ibrahim (20), mkazi wa mtaa wa Mkoani Halmashauri ya Mji Geita, kwa kosa la kuwapigia simu zimamoto na kuwaambia kuna tukio la moto na baadae akazima simu yake kwa lengo la kujifurahisha na kusababisha jeshi hilo kuingia hasara ya kuwasha magari na kukimbilia eneo ambalo walidanganywa.

Shelida alipiga simu kwenye namba ya dharura 114.

#AwadanganyaZimamoto
#EastAfricaTVView attachment 2347688
Wahesabu tukio hilo kama DRILL
 
Kasikiliza hili ngoma lbda
La yvonne chakachaka ama burning up. Hahaha atakuwa kampenda fireman
 
Halafu utasikia mtu namba za wizara haziwapo active kwa akili hizi za watanzania kweli uweke namba ya simu public yatapiga mpaka matahira kama hao.
 
Halafu utasikia mtu namba za wizara haziwapo active kwa akili hizi za watanzania kweli uweke namba ya simu public yatapiga mpaka matahira kama hao.
Ziwepo tu kwani Milembe ilijengwa wapi na kwa sababu zipi?
 
Amesema alitaka kuwachangamsha, sasa swali ni Je wanataka kuchangamka au hawataki?
 
Walenda mbio bila maji , dgo alikua anawaweka katika hali ya ukakamavu wasikae kizembe
 
Back
Top Bottom