carnage21
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 591
- 1,382
Wakati tukiwaza maisha magumu embu tupige magoti tumshukuru Mungu na kuwaombea wenzetu kama zimbabwe, Somalia n.k ambao wanapitia kipindi kigumu cha maisha.Tunalalamika hali ni mbaya ila kuna wenzetu wanataman hata haya maisha tunayoishi sisi.
#HABARI
Zimbabwe imetajwa kuwa nchi yenye hali mbaya zaidi duniani katika ripoti ya mwaka 2022 ya nchi zenye hali mbaya zaidi duniani ya Hanke (HAMI). Kiwango cha kushangaza cha masaibu nchini humo kimechangiwa na sera zinazotekelezwa na Rais Emmerson Mnangagwa, anayewakilisha chama cha ZANU-PF.
Kulingana na ripoti hiyo, Zimbabwe ilipata mfumuko wa bei ulioongezeka wa asilimia 243.8 katika mwaka uliopita.
Tanzania imeorodheshwa katika nafasi ya 99 huku madeni yakiwa ni sababu ya nchi kuwa na ahueni ukilinganisha na nchi nyingine.
Chanzo: East Africa Radio