Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha wanyooke,...Waliambiwq sexual drive ya mwafrika ipo juu
Mtanikuta tunduma niwaongoze😂😂Nina gunia Kama 50 za mahindi, wanangu kina mzabzab, Mad Max, Vishu Mtata, Half american, Mpaji Mungu fanyeni Kama mna kohoa tuibuke mpakani🤣😂.
Mchawi karanga mbichi tu.
Uwezo wa waafrica kwenye kufikiri, unatia mashaka sana.....hata hiyo HIV inatutesa sana, sababu kuu ni umasikini uliyokithiri,...Ndo maana rate ya HIV/AIDS kwa ukanda wa Sub-Saharan Africa ni kubwa sana kila mwaka
😂😂😂 SawaTumeshapata tour guider
Kweli mkuu ila hali inatisha nipo hapa tabora acha tu.Hapana mtumish kuomba huwaga hatuchogi haijalishi tatizo linapungua au linaongezeka
Aisee me siwez kumuliza sasa akishakuambia matatizo yake utafanya nn?Kwa hapa bongo kwa kweli wanawake wana tamaa hiyo ni kweli, maana hapa mpaka mke wa mtu anajiuza na kaachiwa kila kitu na mumewe ila akitokea tu msukuma mmoja katoka zake mwanza ana pesa akipigiwa simu na shost yake kuwa Kuna deal chap chap anaacha yote then anakipeleka kitumbua chake kikakandamizwe
Lakini wengine wana shida sana mpaka unaogopa, jaribu siku moja ukiwa na pesa yako muite mmoja Kisha muulize vizuri atatililika vitu vingi sana
Jifunze kuwa mtafiti acha kuwafungia vioo masikin jitaid kuwa karbu nao
Jaribu kujua wenzio wanachopitia mkuuAisee me siwez kumuliza sasa akishakuambia matatizo yake utafanya nn?
Eeh yan hao wamefikia level ya msos sio pesa so ukimpa nafas ya kumuoa anakuona Mungu mtu.Hatari hii....hawa ukiwapa ofa ya kuwaoa wanahamia kwakonbila tabu
Mkuu jibu ni hali ngumu ya maisha.ndomaan mimi nikingia bar barmaid wengi ni malaya nawachia change na kumnunulia msosi.Jaribu kujua wenzio wanachopitia mkuu
Oya sio powaHarage nyama linabadilishwa na harage shamba.
Ubalikiwe sana mtumishMkuu jibu ni hali ngumu ya maisha.ndomaan mimi nikingia bar barmaid wengi ni malaya nawachia change na kumnunulia msosi.
Kabisa wacha twende zim tukapate wake hawa wabongo wanatupiga sana na mise.o yao ya tafuta hela wee mwanaumeEeh yan hao wamefikia level ya msos sio pesa so ukimpa nafas ya kumuoa anakuona Mungu mtu.
This is happening in Zimbabwe 🇿🇼
View attachment 3246604
Well said MkuuNaona Wachangiaji wengi sana hapa wametoa maoni yao kwa mtindo wa kama mizaha licha ya kwamba tatizo linalojadiliwa ni zito Sana, nyeti, na karibia Wachangiaji wote kabisa hapa Wala hawajaeleza sababu au kiini hasa (root cause) Cha kuibuka kwa janga hili huko Zimbabwe.
Kimsingi, Kitendo Cha Wanasiasa wachache katika nchi kuhodhi madaraka yote kabisa na kuwanyima kabisa fursa Wananchi walio wengi katika kutoa mchango wao wa Mawazo katika kuijenga nchi yao ndio chanzo cha kuibuka matatizo kama hayo. Udikteta wa Rais Robert Mugabe ndio chanzo cha yote haya. Maamuzi mabaya na ya kidikteta ya Rais Mugabe yamesababisha Janga kubwa sana la Kuvurugika kwa Uchumi wa Fedha pamoja na mzunguko wote kabisa wa biashara unaohusisha kubadilishana fedha na bidhaa zingine.
Sarafu ya Zimbabwe imeanguka kabisa, Mfumo wa biashara na Uchumi wake pia umeanguka. Zimbabwe Sasa kwa kiasi kikubwa Sana inatumia Sarafu za nchi zingine za nje ambazo ni adimu Sana kupatikana nchini humo, Rand ya Afrika Kusini, Kwacha ya Zambia & Malawi, Dola ya Marekani, Pura ya Botswana ndizo Sarafu zinazotumika nchini Zimbabwe.
Somo kutoka kwao: Tusiwachekee Wanasiasa Watawala ambao ni Waovu, matendo yao yana madhara makubwa na mabaya Sana kwa Wananchi wengi wa kawaida, madhara hayo mara nyingi sana huwa ni ya muda mrefu au huwa ni ya kudumu.