Zimbabwe no way out

Zimbabwe no way out

Hapa wanajiuzia tamaa sio njaa mkuu
Kwa hapa bongo kwa kweli wanawake wana tamaa hiyo ni kweli, maana hapa mpaka mke wa mtu anajiuza na kaachiwa kila kitu na mumewe ila akitokea tu msukuma mmoja katoka zake mwanza ana pesa akipigiwa simu na shost yake kuwa Kuna deal chap chap anaacha yote then anakipeleka kitumbua chake kikakandamizwe

Lakini wengine wana shida sana mpaka unaogopa, jaribu siku moja ukiwa na pesa yako muite mmoja Kisha muulize vizuri atatililika vitu vingi sana

Jifunze kuwa mtafiti acha kuwafungia vioo masikin jitaid kuwa karbu nao
 
Raia wengi wako SA ni kweli lakin siyo robo tatu sasa ndugu yangu, robo tatu hiyo sii ni inchi nzima kabisa mtumish

Sema jamaa wanajituma sana, ni wachapa kazi sana kwakweli, wako mataifa mengi sana huko kusin kasoro bongo tu
Kumbe? Bongo kuna mazingira duni ya kujituma , nguvu na akili nyingi matokeo kiduchu.
 
Kumbe? Bongo kuna mazingira duni ya kujituma , nguvu na akili nyingi matokeo kiduchu.
Bongo kwa sasa imehalibika kabisa kwa sisi watafutaji

Kutoboa bongo kwa sasa inakulazimu uwe na cheo CCM

Flame bei kodi bei juu TRA nao bei juu
 
Nimekaa Mozambique tete pamoja na Beira ndo maana hata I'D yangu naitwa Beira boy

Tete wanaojiuza ni wazimbambwe , na wamalawi ukiwauliza kwanini wanakwambia maisha ya nchini mwao ni magumu sana

Njoo hapa kwetu Tanzania hali ni ile ile mabinti wanajiuza wengi mpaka unaogopa si Zanzibar,morogoro, mwanza au mbeya

Tuwaombee sana
Mkuu hivi watoto wa kishona Zimbabwe vipi,ni wepesi? Kuna mmoja namtaka job hapa,hit and run
 
Bongo kwa sasa imehalibika kabisa kwa sisi watafutaji

Kutoboa bongo kwa sasa inakulazimu uwe na cheo CCM

Flame bei kodi bei juu TRA nao bei juu
Ina katisha tamaa kuona chawa anakuambia huna pesa wala akili wakati unapambana , ila mmeyataka wenyewe mkuuu huko social media mnapenda kuwafuatilia acha mpigwe za uso mmaee🤣
 
Mkuu hivi watoto wa kishona Zimbabwe vipi,ni wepesi? Kuna mmoja namtaka job hapa,hit and run
Ndio mkuu Zimbabwe wengi wao ni Mashona na hata lugha yao ya nyumban ni kishona japo kuwa wanaongea kimalikia , kama walivyo wamalawi wao ni wachewa na wanaongea kichewa kama lugha mama

Sasa mkuu mimi ni mtumish huyo mtoto wa kishona unamtaka kwa ajili ya NDOA au kwa ajili ya kuzini naye tu?

Tuanzie hapo kwanza
 
Ina katisha tamaa kuona chawa anakuambia huna pesa wala akili wakati unapambana , ila mmeyataka wenyewe mkuuu huko social media mnapenda kuwafuatilia acha mpigwe za uso mmaee🤣
Mkuu huku hakuna cha kufatilia zaid ya mambo hayo ukijifanya mjanja unatekwa, ndugu zako hawataona jeneza lako wala kukunulilia sanda yako
 
Ndio mkuu Zimbabwe wengi wao ni Mashona na hata lugha yao ya nyumban ni kishona japo kuwa wanaongea kimalikia , kama walivyo wamalawi wao ni wachewa na wanaongea kichewa kama lugha mama

Sasa mkuu mimi ni mtumish huyo mtoto wa kishona unamtaka kwa ajili ya NDOA au kwa ajili ya kuzini naye tu?

Tuanzie hapo kwanza
Basi mtumishi,inatosha usijibu .
Ndoa wapi ndugu yangu,Niwe na ukwe Zimbabwe nitaweza kweli kwenda huko mara kwa mara kweli?
 
nina tani 30 za mahindi, uchawi usafiri tu wa kwenda Zimbabwe, mwenye gari alete tutinge pande hizo, mpaka tani 30 ziishe, sipati picha 🤣
 
Basi mtumishi,inatosha usijibu .
Ndoa wapi ndugu yangu,Niwe na ukwe Zimbabwe nitaweza kweli kwenda huko mara kwa mara kweli?
Ahaaaa kipindi cha nyuma mimi nilikataaga kuwa na wakwe iringa au mbeya, maana njia ilikuwa ni mbovu sana enzi hizo
 
Ahaaaa kipindi cha nyuma mimi nilikataaga kuwa na wakwe iringa au mbeya, maana njia ilikuwa ni mbovu sana enzi hizo
Ni Mambo ya kuangalia hayo, unatokea msiba unaanza kuwaza utafika vipi huko...kuoa ni mkoa mmoja au mkoa jirani kama uchumi wako ni wa kawaida
 
Waafrica ukiwaambia waache kuzaa zaa kama mbwa au simbilisi hawasikiii,, utasikia kila mtoto anakuja na sahani yake,...haya sasa sahani zao ndo hizo,...
 
Back
Top Bottom