Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Kwa hapa bongo kwa kweli wanawake wana tamaa hiyo ni kweli, maana hapa mpaka mke wa mtu anajiuza na kaachiwa kila kitu na mumewe ila akitokea tu msukuma mmoja katoka zake mwanza ana pesa akipigiwa simu na shost yake kuwa Kuna deal chap chap anaacha yote then anakipeleka kitumbua chake kikakandamizweHapa wanajiuzia tamaa sio njaa mkuu
Lakini wengine wana shida sana mpaka unaogopa, jaribu siku moja ukiwa na pesa yako muite mmoja Kisha muulize vizuri atatililika vitu vingi sana
Jifunze kuwa mtafiti acha kuwafungia vioo masikin jitaid kuwa karbu nao