Zimbabwe no way out

Waafrica ukiwaambia waache kuzaa zaa kama mbwa au simbilisi hawasikiii,, utasikia kila mtoto anakuja na sahani yake,...haya sasa sahani zao ndo hizo,...
Waliambiwq sexual drive ya mwafrika ipo juu
 
Ndo maana rate ya HIV/AIDS kwa ukanda wa Sub-Saharan Africa ni kubwa sana kila mwaka
Uwezo wa waafrica kwenye kufikiri, unatia mashaka sana.....hata hiyo HIV inatutesa sana, sababu kuu ni umasikini uliyokithiri,...
 
Aisee me siwez kumuliza sasa akishakuambia matatizo yake utafanya nn?
 
This is happening in Zimbabwe 🇿🇼
View attachment 3246604

Naona Wachangiaji wengi sana hapa wametoa maoni yao kwa mtindo wa kama mizaha licha ya kwamba tatizo linalojadiliwa ni zito Sana, nyeti, na karibia Wachangiaji wote kabisa hapa Wala hawajaeleza sababu au kiini hasa (root cause) Cha kuibuka kwa janga hili huko Zimbabwe.

Kimsingi, Kitendo Cha Wanasiasa wachache katika nchi kuhodhi madaraka yote kabisa na kuwanyima kabisa fursa Wananchi walio wengi katika kutoa mchango wao wa Mawazo katika kuijenga nchi yao ndio chanzo cha kuibuka matatizo kama hayo. Udikteta wa Rais Robert Mugabe ndio chanzo cha yote haya. Maamuzi mabaya na ya kidikteta ya Rais Mugabe yamesababisha Janga kubwa sana la Kuvurugika kwa Uchumi wa Fedha pamoja na mzunguko wote kabisa wa biashara unaohusisha kubadilishana fedha na bidhaa zingine.

Sarafu ya Zimbabwe imeanguka kabisa, Mfumo wa biashara na Uchumi wake pia umeanguka. Zimbabwe Sasa kwa kiasi kikubwa Sana inatumia Sarafu za nchi zingine za nje ambazo ni adimu Sana kupatikana nchini humo, Rand ya Afrika Kusini, Kwacha ya Zambia & Malawi, Dola ya Marekani, Pura ya Botswana ndizo Sarafu zinazotumika nchini Zimbabwe.

Somo kutoka kwao: Tusiwachekee Wanasiasa Watawala ambao ni Waovu, matendo yao yana madhara makubwa na mabaya Sana kwa Wananchi wengi wa kawaida, madhara hayo mara nyingi sana huwa ni ya muda mrefu au huwa ni ya kudumu.
 
Well said Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…