kwan kitalu nyumba/greenhouse huwa ina limitations za ukubwa wa eneo?mbona kinaonekana kama kitalu nyumba!!!!
Ccm hawataki kuona waTanganyika tukiwa na uchumi nzuri.Safi sana ,na hapa kwetu tuige hilo jambo badala ya kukamatana hovyo
waliomshangila sio wa Zambia kweli?Wasabato walishangilia Sana huyu jamaa kuwa Raisi , Aya wasabato mwamba kakubali bangi iende viral mnasemaje
Wote mkuu ilikuwa vurugu,waliomshangila sio wa Zambia kweli?
Alaf kwan biblia kuna sehemu imezuia matumizi ya bang ama huwa ni miemko tu yawatu?
Kwani kuna shida msuba ukipigwa?Tujitoe kwenye makucha ya wamagharibi.ukiiruhusu kulimwa ruhusu na kuitafuna kupiga msuba🚭🚭