Zimbabwe: Rais Mnangagwa azindua shamba la bangi

hiyo bangi ina onekana ina limwa na wawekezaji au watu walio pewa kibali maalm na sio kila mtu mwenye eneo ana weza lima, na yote ni kuzuia matumizi mabaya ya bangi...

kama nasi tutaiga au tutataka kuingia huko basi itakuwa kwa utaratib maalm ambao hauta sumbua
 
Hiv kati ya bang na tumbaku kipi chenye madhara zaidi kiafya?
 
jaribu kwanza tombako tulia isikilizie.. kisha baadae jaribu MSUBA utapata jibu zuri tu
 
kwan matokeo nitayapata hapo hapo?
Aya bang sahv tunaona wanasema inaweza kutoa mafuta kwaajiri ya kuchua, inatoa dawa za kutuliza maumivu nk mbali na kuvuta aya tumbaku inatoa nn na nn nn mbali na uvutwaji wake ili nijaribu products zake zote? Maana inaweza nidhuru kwakui smoke ila ikawa na products nyingne isiyo nidhuru.
 
Tumbaku ina madhara makubwa zaidi kuliko bangi.
kwaiyo zuio la bang kuna watu nyuma wana ajenda zao kwann kisicho na madhara makubwa kidhuiliwe ila chenye madhara makubwa kiruhusiwe ama ndio kutafta ela za kula siku ya tumbaku dunian? Au ili waendelee kula ela za wagonjwa wanaoumwa magonjwa yatokanayo na matumiz ya tumbaku?
bas tumbaku ipigwe ban, bang iruhusiwe
 
Niliwahi kuuliza swali hili kwa watu wa WHO kipindi nafanya kazi kampuni ya Tumbaku wakati wanaelezea madhara ya Tumbaku kwa Kweli nilichojibiwa ni kuwa Ukisema ukomeshe Kilimo Cha Tumbaku utakuwa umedhoofisha uchumi wa nchi nyingi pakubwa sana, mfano Marekani, asilimia 5,ya uchumi wake inategemea Tumbaku.
 
Sisi tunaenda kwa mazoea tu kama mifugo vile.

Kuna wabongo kibao tu wanaagiza mafuta ya mbegu za bangi na wanachukulia posta.
 
Niliwahi kuuliza swali hili kwa watu wa WHO kipindi nafanya kazi kampuni ya Tumbaku wakati wanaelezea madhara ya Tumbaku kwa Kweli nilichojibiwa ni kuwa Ukisema ukomeshe Kilimo Cha Tumbaku utakuwa umedhoofisha uchumi wa nchi nyingi pakubwa sana, mfano Marekani, asilimia 5,ya uchumi wake inategemea Tumbaku.
ama kweli kuwa na akili ni baraka sana yan bora watu wadhurike kuliko kuzuia. Na sisi tukalishwa uongo tukalibeba kama lilivyo pasipo kutumia ata akili
 
Ndio hivyo Mkuu,inashangaza sana.Ndio maana unakuta sigara zimeandikwa "Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako",lkn Serikali haiuzuii.
 
Back
Top Bottom