kwan matokeo nitayapata hapo hapo?jaribu kwanza tombako tulia isikilizie.. kisha baadae jaribu MSUBA utapata jibu zuri tu
Ndio tuhalalishe bangi,katazo hili ni la enzi za mkoloni tumelibeba mpaka leosio kila wanachofanya wamagharibi basi na sisi tuvifanye.. tunapotea
TumbakuHiv kati ya bang na tumbaku kipi chenye madhara zaidi kiafya?
Tumbaku ina madhara makubwa zaidi kuliko bangi.Hiv kati ya bang na tumbaku kipi chenye madhara zaidi kiafya?
kwaiyo zuio la bang kuna watu nyuma wana ajenda zao kwann kisicho na madhara makubwa kidhuiliwe ila chenye madhara makubwa kiruhusiwe ama ndio kutafta ela za kula siku ya tumbaku dunian? Au ili waendelee kula ela za wagonjwa wanaoumwa magonjwa yatokanayo na matumiz ya tumbaku?Tumbaku ina madhara makubwa zaidi kuliko bangi.
bas tuzuie tumbaku, turuhusu bang.Tumbaku
Niliwahi kuuliza swali hili kwa watu wa WHO kipindi nafanya kazi kampuni ya Tumbaku wakati wanaelezea madhara ya Tumbaku kwa Kweli nilichojibiwa ni kuwa Ukisema ukomeshe Kilimo Cha Tumbaku utakuwa umedhoofisha uchumi wa nchi nyingi pakubwa sana, mfano Marekani, asilimia 5,ya uchumi wake inategemea Tumbaku.kwaiyo zuio la bang kuna watu nyuma wana ajenda zao kwann kisicho na madhara makubwa kidhuiliwe ila chenye madhara makubwa kiruhusiwe ama ndio kutafta ela za kula siku ya tumbaku dunian? Au ili waendelee kula ela za wagonjwa wanaoumwa magonjwa yatokanayo na matumiz ya tumbaku?
bas tumbaku ipigwe ban, bang iruhusiwe
ama kweli kuwa na akili ni baraka sana yan bora watu wadhurike kuliko kuzuia. Na sisi tukalishwa uongo tukalibeba kama lilivyo pasipo kutumia ata akiliNiliwahi kuuliza swali hili kwa watu wa WHO kipindi nafanya kazi kampuni ya Tumbaku wakati wanaelezea madhara ya Tumbaku kwa Kweli nilichojibiwa ni kuwa Ukisema ukomeshe Kilimo Cha Tumbaku utakuwa umedhoofisha uchumi wa nchi nyingi pakubwa sana, mfano Marekani, asilimia 5,ya uchumi wake inategemea Tumbaku.
Ndio hivyo Mkuu,inashangaza sana.Ndio maana unakuta sigara zimeandikwa "Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako",lkn Serikali haiuzuii.ama kweli kuwa na akili ni baraka sana yan bora watu wadhurike kuliko kuzuia. Na sisi tukalishwa uongo tukalibeba kama lilivyo pasipo kutumia ata akili