that's what economics dictates. if i can plant miraa and earn 10x as much as I can from maize. then buy maize at a tenth the cost from a neighbouring country surely that's what is more beneficial. We don't all have to plant the same thing just because we can. we do what we are best placedto do.competitive advantage is the name of the gameHahaha, maajabu kweli, jamaa wanasemaga hawana ardhi ya kutosha kukuuza mahindi, ila ya kulima mirungi ipo,
No, selling uprocessed Maize is not spreading your economic tentacles, if you were slling them proccesed maize then that would be different, or better yet, if you had set up maize milling factories in zimbabwe to process maize for zimbabweans, then that would be spreding your economic tentacles, like how Kenya has companies like pembe maize millers, Unga group etc
Tanzanian Tycoon Said Salim Bakhresa To Invest $30 Million In Zimbabwean Flour MillNo, selling uprocessed Maize is not spreading your economic tentacles, if you were slling them proccesed maize then that would be different, or better yet, if you had set up maize milling factories in zimbabwe to process maize for zimbabweans, then that would be spreding your economic tentacles, like how Kenya has companies like pembe maize millers, Unga group etc
ExactlySasa wengine haturuhusiwi kuelewa?
Is it employing tanzanians though?Kafrican, bakhresa acquired Blue rainbow millers in Zimbabwe! So Tanzania does both..
Miaka hii wakenya mtahara mno. Nyie mnaongea TZ tunafanya kweli. Mwisho wa siku mtaelewa tu nchi za kijamaa ndio sasa zinateka dunia.Is it employing tanzanians though?
Everyone knows Mugave said all foreign companies in zimbabwe must give locals large shares and maintain minority so all that goes to bhakresa that is why View attachment 416318
Tunaongea wapi??Miaka hii wakenya mtahara mno. Nyie mnaongea TZ tunafanya kweli. Mwisho wa siku mtaelewa tu nchi za kijamaa ndio sasa zinateka dunia.
Mbona njaa kila siku. Watu wanakufa kwa njaa. Huku mnajitapa eti abcd wakati mmekamatwa kila sehemu na watu weupe.Tunaongea wapi??
Mnaongea ni kama wakenya wanalala siku kucha .....siuangalie kenya uone kama tuna lala
1000,000 irrigation scheme tana river inakuja hatupigi domo ......SMH mnajua maana ya kulala kweli?
Ingia CNN african startup series ama inside africa ama market place africa uone kila wiki wanaleta entreprenuers wakenya wanaofanya vyema kibiashara .....hamjui chochote JF na geza ndio anawapa Idea kwambaTZ mnapaa hamuendi mahali Pipeline bado ......railway bado!!....mko mbali hata 55bn$ hamjafika bado kenya tunaingia 70bn$ kileleni mwa mwaka
Give me a 2015 news or 2016 news or anything post 2013 showing kenyans dying of hunger wacha kuongea vitu za karne iliyopitaMbona njaa kila siku. Watu wanakufa kwa njaa. Huku mnajitapa eti abcd wakati mmekamatwa kila sehemu na watu weupe.
Nyie wakenya amkeni acheni upoyoyo.
Mmeshindwa na migambo wa somalia kila siku mnalia lia na kifanya matangazo ya jeshi kwenye mitandao. Nyie washamba sana.
Kwikwikwi. Huwa nacheka sana nikikutana na mkenya. Kichwa wapo empty zaidi ya kuwaza kuiba tu. Kwikwikwi.
Walipe kwa USD au Tsh.
Zile hela zao hazitabiriki
Kwani wana pesa yao?Walipe kwa USD au Tsh.
Zile hela zao hazitabiriki
Watu intelligent hawatumii matusi kama weweHuna uwezo wa ku argue na watu intelligent kama mimi. Wewe uwezo wako ni kufanya umbea wa kikenya.
Mzee Mugabe hataki kabisa kuwasikia hawa watu anasema ni matapeli na waongo wakubwa hasa ukiwakuta sehemu kuna mzungu basi wanajifanya wao ni " next to mzungu" watamdanganya kuwa kila kitu kizuri afrika nzima ni mali yao.K+254's walie tu.
Ona unavyotoa povu mdomoni. Nani kakutukana wewe? Wewe kiwango chako hicho cha chini kufikiri nikutukane si nitakuwa najichosha.Watu intelligent hawatumii matusi kama wewe
Show me how kenya is sleeping and prove it then i will argue but stating factless statements and adding abusive agendas doesnt make you intelligent SIR!1
Hundreds of thousands face hunger in Kenya | Africa | DW.COM | 21.06.2016Give me a 2015 news or 2016 news or anything post 2013 showing kenyans dying of hunger wacha kuongea vitu za karne iliyopita