Zimbabwe to import maize from Tanzania

Zimbabwe to import maize from Tanzania

Hahaha, maajabu kweli, jamaa wanasemaga hawana ardhi ya kutosha kukuuza mahindi, ila ya kulima mirungi ipo,
that's what economics dictates. if i can plant miraa and earn 10x as much as I can from maize. then buy maize at a tenth the cost from a neighbouring country surely that's what is more beneficial. We don't all have to plant the same thing just because we can. we do what we are best placedto do.competitive advantage is the name of the game
 
No, selling uprocessed Maize is not spreading your economic tentacles, if you were slling them proccesed maize then that would be different, or better yet, if you had set up maize milling factories in zimbabwe to process maize for zimbabweans, then that would be spreding your economic tentacles, like how Kenya has companies like pembe maize millers, Unga group etc

Kuna maize milling factory cha fogo mmoja wa bongo anaitwa bakhresa kipo kule...
 
No, selling uprocessed Maize is not spreading your economic tentacles, if you were slling them proccesed maize then that would be different, or better yet, if you had set up maize milling factories in zimbabwe to process maize for zimbabweans, then that would be spreding your economic tentacles, like how Kenya has companies like pembe maize millers, Unga group etc
Tanzanian Tycoon Said Salim Bakhresa To Invest $30 Million In Zimbabwean Flour Mill
Tanzanian multi-millionaire Said Salim Bakhresa is set to spend $30 million in acquiring a controlling stake in Blue Ribbon Industries (BRI), a flour milling company in Zimbabwe.

According to the Zimbabwe Mail, Bakhresa Group, one of Tanzania’s largest conglomerates, has officially notified Zimbabwe’s Competition and Tariff Commission that it plans to acquire a 100% shareholding in the troubled miller.
 
Kafrican, bakhresa acquired Blue rainbow millers in Zimbabwe! So Tanzania does both..
Is it employing tanzanians though?

Everyone knows Mugave said all foreign companies in zimbabwe must give locals large shares and maintain minority so all that goes to bhakresa that is why
1476204808182.png
 
Is it employing tanzanians though?

Everyone knows Mugave said all foreign companies in zimbabwe must give locals large shares and maintain minority so all that goes to bhakresa that is why View attachment 416318
Miaka hii wakenya mtahara mno. Nyie mnaongea TZ tunafanya kweli. Mwisho wa siku mtaelewa tu nchi za kijamaa ndio sasa zinateka dunia.
 
Miaka hii wakenya mtahara mno. Nyie mnaongea TZ tunafanya kweli. Mwisho wa siku mtaelewa tu nchi za kijamaa ndio sasa zinateka dunia.
Tunaongea wapi??

Mnaongea ni kama wakenya wanalala siku kucha .....siuangalie kenya uone kama tuna lala

1000,000 irrigation scheme tana river inakuja hatupigi domo ......SMH mnajua maana ya kulala kweli?

Ingia CNN african startup series ama inside africa ama market place africa uone kila wiki wanaleta entreprenuers wakenya wanaofanya vyema kibiashara .....hamjui chochote JF na geza ndio anawapa Idea kwambaTZ mnapaa hamuendi mahali Pipeline bado ......railway bado!!....mko mbali hata 55bn$ hamjafika bado kenya tunaingia 70bn$ kileleni mwa mwaka
 
Annael

1476205408849.png

Hyo ni according to IMF last year Dec

World bank yasema kenya imefika 69.17bn$ 2016 september

Tanzania hata hamjakanyaga 55bn$

Sijui mnaona kama 20bn$ gap ni kushinda ama nini!!??
 
69.997×1.059= 74.105bn$

As of 2016 next year probably 78bn$

Next year 2018 83bn$

Tanzania mko mbali know your place
 
Tunaongea wapi??

Mnaongea ni kama wakenya wanalala siku kucha .....siuangalie kenya uone kama tuna lala

1000,000 irrigation scheme tana river inakuja hatupigi domo ......SMH mnajua maana ya kulala kweli?

Ingia CNN african startup series ama inside africa ama market place africa uone kila wiki wanaleta entreprenuers wakenya wanaofanya vyema kibiashara .....hamjui chochote JF na geza ndio anawapa Idea kwambaTZ mnapaa hamuendi mahali Pipeline bado ......railway bado!!....mko mbali hata 55bn$ hamjafika bado kenya tunaingia 70bn$ kileleni mwa mwaka
Mbona njaa kila siku. Watu wanakufa kwa njaa. Huku mnajitapa eti abcd wakati mmekamatwa kila sehemu na watu weupe.

Nyie wakenya amkeni acheni upoyoyo.
Mmeshindwa na migambo wa somalia kila siku mnalia lia na kifanya matangazo ya jeshi kwenye mitandao. Nyie washamba sana.

Kwikwikwi. Huwa nacheka sana nikikutana na mkenya. Kichwa wapo empty zaidi ya kuwaza kuiba tu. Kwikwikwi.
 
Give me a 2015 news or 2016 news or anything post 2013 showing kenyans dying of hunger wacha kuongea vitu za karne iliyopita
 
Waona!! This is why i cant deal with this people ukimlemea anaanza matusi good day Annael
 
Huna uwezo wa ku argue na watu intelligent kama mimi. Wewe uwezo wako ni kufanya umbea wa kikenya.
Watu intelligent hawatumii matusi kama wewe

Show me how kenya is sleeping and prove it then i will argue but stating factless statements and adding abusive agendas doesnt make you intelligent SIR!1
 
K+254's walie tu.
Mzee Mugabe hataki kabisa kuwasikia hawa watu anasema ni matapeli na waongo wakubwa hasa ukiwakuta sehemu kuna mzungu basi wanajifanya wao ni " next to mzungu" watamdanganya kuwa kila kitu kizuri afrika nzima ni mali yao.
 
Watu intelligent hawatumii matusi kama wewe

Show me how kenya is sleeping and prove it then i will argue but stating factless statements and adding abusive agendas doesnt make you intelligent SIR!1
Ona unavyotoa povu mdomoni. Nani kakutukana wewe? Wewe kiwango chako hicho cha chini kufikiri nikutukane si nitakuwa najichosha.

Huenda hujui hata jina la nchi yako limetokana na nini na pia hujui hata nairobi imetokana na nini.

Uwezo wako upstairs ni finyu sana. Jenga hoja sio kukimbilia kushambulia nchi ya ahadi Tanzania.
 
Back
Top Bottom