Zimbabweans discussing Kenya On twitter wondering how we took of from 7b Gdp in 1980 to 74.7 in 2018

Pedestrian Thinking..what does your neighbour have todo with economic growth? isnt greece a neighbour to very rich EU nations? what about venezuela neighbouring s american economic giants?

Ahaaa haaa haaa
I was reading somewhere, when somebody asked is Greece a third world country, dispite its neighbours being first world countries?
 
View attachment 749981

In 1980 Zimbabwe’s GDP at $6.7b was closest to Kenya ($7.3b) It was better than Zambia ($3.8b) & Botswana ($1.1b) In 2017 Zimbabwe’s GDP at $16.3b was 78% below Kenya whose GDP has grown 828% to $74.7b Zim GDP is now 22% below Zambia & 2.5% below Botswana. HppyIndependece

Wote ni wajinga, mbona hawaongelei population ya Kenya vs Zimbabwe? Kenya ina watu zaidi ya milioni 40 wakati Zimababwe wako 15 milioni, na Je Kenya ilikuwa an watu wangapi mwaka 1980 kulinganisha na leo?

Kwanza kwangu mimi kujivunia 80 billion dollar economy kwenye nchi yenye watu zaidi ya milioni 40 ni ujinga usio na maelezo, kuna watu mnapaswa kufanyiwa vasektomi ili msiendeleze kizazi cha ma low IQ
 
Yaani majirani zetu kama mngejituma tungetoka fasta sana, lakini mivivu, kila wakiulizwa wanasema Kenya ilijengwa na Mzungu, sasa ukiangalia hiyo picha inaonyesha Kenya ilikua hoi 1980, ni mzungu gani alikua Kenya.

Tumejenga nchi yetu tofali kwa tofali, bati kwa bati....lakini ni baada ya kuondoa utawala mbaya. Majirani zetu wote wamekaliwa na watawala wa tangu miaka ileeee...ukiangali Museveni ndio kwanza anawaza kuishi milele, ukigeuza macho Tanzania chama cha CCM kama ilivyokua KANU, kinatazamia kungoza hadi sayari ya mbali.
 
Ahaaa haaa haaa
Wachovu Zimbabwe wanashangaa wachovu wenzao kusonga MBELE.

Jibu ni kuwa land reform implementation methodology cost much zim guys. Kenya never dered to expropriate land owned by settlers. That's why people like Lord Dalamare enjoy more their life in Kenya than anywhere on earth.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Yaani majirani zetu kama mngejituma tungetoka fasta sana, lakini mivivu, kila wakiulizwa wanasema Kenya ilijengwa na Mzungu, sasa ukiangalia hiyo picha inaonyesha Kenya ilikua hoi 1980, ni mzungu gani alikua Kenya.

Tumejenga nchi yetu tofali kwa tofali, bati kwa bati....lakini ni baada ya kuondoa utawala mbaya. Majirani zetu wote wamekaliwa na watawala wa tangu miaka ileeee...ukiangali Museveni ndio kwanza anawaza kuishi milele, ukigeuza macho Tanzania chama cha CCM kama ilivyokua KANU, kinatazamia kungoza hadi sayari ya mbali.

Wewe usifananishe CCM na KANU, CCM ni sawa na communist party of China au chama cha kina Putin. Sema hapo juzi kati mafisadi walijimilikisha.
 
Then why are you tryin to imply that Kenyas location is a disadvatage and thats the reason S.Korea has 12 times the economy of kenya?
N.Korea is a poor very poor country despite being in the region and with great economic ties with China
wee mjinga,north wako na nuclear weapons then unasema ni maskini
 
Then why are you tryin to imply that Kenyas location is a disadvatage and thats the reason S.Korea has 12 times the economy of kenya?
N.Korea is a poor very poor country despite being in the region and with great economic ties with China
You know North Korea well its an equivalent of somalia here
 
Kwanza kwangu mimi kujivunia 80 billion dollar economy kwenye nchi yenye watu zaidi ya milioni 40 ni ujinga usio na maelezo, kuna watu mnapaswa kufanyiwa vasektomi ili msiendeleze kizazi cha ma low IQ

Vipi boss? Na unaonaje kujivunia $56 billion economy kwenye nchi ya 55 million people? Watu kama hao ni vasectomy watafanyiwa ama decapitation?
 
Sijawahi kujivunia 50 billion dollar economy hata siku moja kwani kwangu ni ujinga ulipitiliza.
 
You should also ask yourself where kenya went wrong. At independence 1963 Kenya GDP was the same with S.Korea, now S Korea is $1.4tn as kenya struggles with $78bn. More than 12 times larger.
It's stupidity of highest order to compare Kenya to Zimbabwe or Tanzania the two countries that have been through a series of of embargoes with the later last 20 years. Yet that same Kenya is not even half of South Africa's GDP. Yet SA had embargoes for years. Peleka ur Uthamawaki nI witu kwa Wakikuyu wenzio JamiiForums.com. Stupidity Mumbi..
Team povu si mkawashambulie wazimbabwe huko twitter na msiwasahau wapenda habari za twitter mulisaaa na kadoda 01.
GDP Tanzania 1980 - $9.3 billion....Hahahaha yani hawa washenzi walikuwa wametuacha nyakati zile lakini hi I sasa we are laughing the loudest.
 
Back
Top Bottom