Zimbabweans discussing Kenya On twitter wondering how we took of from 7b Gdp in 1980 to 74.7 in 2018

Zimbabweans discussing Kenya On twitter wondering how we took of from 7b Gdp in 1980 to 74.7 in 2018

Team povu si mkawashambulie wazimbabwe huko twitter na msiwasahau wapenda habari za twitter mulisaaa na kadoda 01.
GDP Tanzania 1980 - $9.3 billion....Hahahaha yani hawa washenzi walikuwa wametuacha nyakati zile lakini hi I sasa we are laughing the loudest.
Siko hapa kukufurahisha. Ni washezi tu ambao wanaweza sherehekea kumpiku mugabe 😀
 
Wewe usifananishe CCM na KANU, CCM ni sawa na communist party of China au chama cha kina Putin. Sema hapo juzi kati mafisadi walijimilikisha.

Hakuna chama kibaya, hayo mafisadi ndio hutia doa.
Leo mumekwapua 1.5 trillions, wakati chama ni kile kile. Miaka yote nchi yenu imechelewa kwa ajili ya hicho chama na uvivu wenu.
Labda mkijaribisha kubadilisha uongozi kama sisi mtatoka kama tulivyotoka.
 
Pakistan has even more advance neuclear war heads. A very poor country. See your silly logic? Wealth is not equal to Nukes
However, Pakistan is not categorised an LDC like your poor Tanzania and it's economy is ranked 24th in the world PPP and 41st GDP. Hapa usilete ujinga na uongo...mshienzi(Atwoli's voice).
 
However, Pakistan is not categorised an LDC like your poor Tanzania and it's economy is ranked 24th in the world PPP and 41st GDP. Hapa usilete ujinga na uongo...mshienzi(Atwoli's voice).
Have you read what and Why I singled out Pakistan? There was no discussion of LDC here...otherwise we should have discussed why Zimbambwe is Middle income. Learn to follow..wacha kukurupuka
 
hapa povu tu!! when we are done with the on going projects without political interference, mtaisoma number kwa zaidi.
 
Ni kweli kiuchumi mnapiga hatua from since then, the capitalist system waa on your side, but mind you uchumi pekee sio pillars pekee in national building, unfortunately mlisahau kujenga misingi mingine kama national unity and cohession,and remind you your economy is not inclusive, that together With lack of national unity ie ukabila is a recepe for future political turmoil, so you big economy is standing on sand faoundation, be proud not but use it Now to foster your national unity and cohession
 
Hakuna chama kibaya, hayo mafisadi ndio hutia doa.
Leo mumekwapua 1.5 trillions, wakati chama ni kile kile. Miaka yote nchi yenu imechelewa kwa ajili ya hicho chama na uvivu wenu.
Labda mkijaribisha kubadilisha uongozi kama sisi mtatoka kama tulivyotoka.

Pia hizo hela hamna aliyeiba, bali zilitumika kwenye matumizi ya miradi ya maendeleo ambayo haikuwa kwenye bajeti.

Hatuwezi thubutu kuwapa NCHI chama kilichojaa mafisi halafu hakina HATA sera.
 
Pia hizo hela hamna aliyeiba, bali zilitumika kwenye matumizi ya miradi ya maendeleo ambayo haikuwa kwenye bajeti.

Hatuwezi thubutu kuwapa NCHI chama kilichojaa mafisi halafu hakina HATA sera.
wacha kutetea upuuzi! ni miradi ipi ya maendeleo isiyokuwa kwa bajeti??
 
Pakistan has even more advance neuclear war heads. A very poor country. See your silly logic? Wealth is not equal to Nukes
Ethiopia ina airline kubwa Africa lakini kila siku raia wake wanakamatwa Tanzania wakikimbia nchi yao
 
in 2000 tanzanias gdp was 10b while kenya 12b......in 2017 kenyas gdp 75b tz gdp 49b..where did you go wrong
You borrowed more money.
From 2000, you borrowed 40bn$, we borrowed 16bn$ since 2000.
So, we have the same non-borrowed GDP OF 35BN$.
Remember this, you borrowed your way up. That's a punk move!
 
You borrowed more money.
From 2000, you borrowed 40bn$, we borrowed 16bn$ since 2000.
So, we have the same non-borrowed GDP OF 35BN$.
Remember this, you borrowed your way up. That's a punk move!
That would never be an excuse
 
You borrowed more money.
From 2000, you borrowed 40bn$, we borrowed 16bn$ since 2000.
So, we have the same non-borrowed GDP OF 35BN$.
Remember this, you borrowed your way up. That's a punk move!
tanzania education is sh!t, how does a grown up reason like this??
 
Back
Top Bottom