Zimbwe jr hapaswi kuichezea taifa stars kwasasa.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Shabalala anacheza mpira lakini usiovutia, anarukia na kuparamia wachezaji wenzake uwanjani, anatumia fujo kunyang'anya mpira wenzake wanaojali afya zao wasiumizwe na uchezaji wake usiozingatia wala kujali afya za wengine.

Kwa uchezaji wake ni rahisi mno kutolewa nje Kwa Kadi nyekundu na kuitia hasara taifa stars. Finali za Afcon referees wako makini Sana kuwalinda wachezaji nyota wasiparamiwe ovyo uwanjani na mashabalala. Hivyo, wachezaji wetu lazima wafahamishwe mapema ili wasije wakapewa Kadi nyingi nyekundu Kwa kuparamia wachezaji wenzao kama wanavyofanya kwenye ligi yetu.
 
Sawa sawa!

Nadhani kucheza hivyo ni kukamia sana mechi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasije wakakamia mechi wakaadhibiwa vibaya Sana kule wakadhani wanaonewa na waamuzi. Afcon kwetu itakuwa muda msuri wa wachezaji kujiuza Kwa kutandaza kabumbu safi inayowavutia mawakala sio kutengua enka za akina salaa, mane, na wengine, tutaadhibiwa Kwa upuuzi wa hivyo. Kacha Amunike epuka wachezaji kama Mohamed Hussein Shabalala
 
Aliachwa kwa kukuchulia mchuchu?
 
Ninja na Kelvin wanachezaje mpira?
 
Aliachwa kwa kukuchulia mchuchu?
KwaKuvamia wenzake akitekeleza "do or die" anasahau kuwa ajira ya wenzake iko kwenye miguu Yao. Ndio maana wachezaji wetu mpira unaisha mapema Sana kwasababu ya kushabalaliwa na viwanja vibovu hasa mechi za mikoani.

TFF lazima wawe wakali Sana na uchezaji wa kuumizana na viwanja vibovu. Kama wachezaji wetu hawatafundwa huko Afcon tutashuhudia Kadi nyekundu nyiiingi kwenye kikosi chetu.
 
Waonywe vikali pia, Ila hawamfikii Zimbwe jr
Ninja humjui ww. Siku moja nlimsikia akisema mazoezini kuwa "Namna ninavyoungia mm forward hawezi thubutu kuingia na kama ataingia atajichanganya na nitamfanya kitoeo cha mfano' Ninja anavunja mtu na anataka aogopeke kwa namna hiyo.
 

Hii ni kampeni against this boy????!!! Why???
 
Sijaona mchezaji fundi kama zimbwe bongo now
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…