kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Shabalala anacheza mpira lakini usiovutia, anarukia na kuparamia wachezaji wenzake uwanjani, anatumia fujo kunyang'anya mpira wenzake wanaojali afya zao wasiumizwe na uchezaji wake usiozingatia wala kujali afya za wengine.
Kwa uchezaji wake ni rahisi mno kutolewa nje Kwa Kadi nyekundu na kuitia hasara taifa stars. Finali za Afcon referees wako makini Sana kuwalinda wachezaji nyota wasiparamiwe ovyo uwanjani na mashabalala. Hivyo, wachezaji wetu lazima wafahamishwe mapema ili wasije wakapewa Kadi nyingi nyekundu Kwa kuparamia wachezaji wenzao kama wanavyofanya kwenye ligi yetu.