dogo yuko vzr, sema kwa ukabaji kweli ana ukabaji wa kuumiza hata mechi ya jana kama si refa kuwa muungwana angelimwa red cardSijaona mchezaji fundi kama zimbwe bongo now
Kaka marefa wetu ni vile Tu wanazibeba Sana Simba na Yanga vinginevyo Hussein Zimbwe angekuwa anapewa Kadi nyekundu kila mechi. Hata na TP Mazembe alisamehewa Tu lakini akienda kucheza vile Lubumbashi atapewa nyekunduameshapewa kadi ngapi kwa kuparamia wachezaji wenzie?
mkuu acha wivu wa kike Tshabalala ni bonge la player.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huezi kuchezesha Kwa shinikizo mchezaji ambaye unamfahamu wakati wowote anaweza kuigharimu timu yako. Kocha wa hivyo labda awe Baba yako wa kambo. Unadhani akirukia kipuuzi mguuni mwa mchezaji wa Liverpool, Man U, Barca, Arsenal, Madrid huko Afcon refa atamchekea. Suarez alikuwa mchezaji mzuri lakini Kwa tabia yake ya kunyata wenzake alikuwa anakosa timuZimbwe anafaa kucheza Stars dogo anajituma na mpira anajua ni beki yule sio forward na mpira sio lele mama kama unavyodhania...Zimbwe mpira anaujua anapanda na kushuka na pass ndefu zenye madhara anapiga nyingi kuchukua mpira mguuni kwake ni ngumu hata kama anakuchukulia kademu mtaani kwenu punguza chuki zisizo na faida kwa Taifa... unamuacha mchezaji anacheza mashindano makubwa ya klabu na ni tegemeo jua unaemuacha una matatizo sio bure....
Samahani kwa kukueleza ukweli mpira wa miguu haujui Mkuu...kuruka kwa kipuuzi mguuni mwa mchezaji wa Liverpool duu lugha ya wapi hii...Huezi kuchezesha mchezaji ambaye wakati wowote anaweza kuigharimu timu. Kocha wa hivyo labda awe Baba yako wa kambo. Unadhani akirukia kipuuzi mguuni mwa mchezaji wa Liverpool, Man U, Barca, Arsenal, Madrid huko Afcon refa atamchekea.
Mkuu huyo anataka attention. Mpira wa miguu na yeye mbalimbali. Anataka tu ahesabiwe ameanzisha thread. Ignore.Samahani kwa kukueleza ukweli mpira wa miguu haujui Mkuu...kuruka kwa kipuuzi mguuni mwa mchezaji wa Liverpool duu lugha ya wapi hii...
Mkuu nimekuelewa nashangaa mtu mpira anaonekana haujui kabisaa harafu anataka kuuzungumzia na kuuchambua ni shida sana...Mkuu huyo anataka attention. Mpira wa miguu na yeye mbalimbali. Anataka tu ahesabiwe ameanzisha thread. Ignore.
Wacha aichezee Simba kwanza atafakari kwanini ameachwa kikosi cha stars. Kwaakili zenu fupi mnadhani Amunike amemuacha Kwa bahati mbaya, mbona alimuacha na timu ikaingia Afcon?Mkuu huyo anataka attention. Mpira wa miguu na yeye mbalimbali. Anataka tu ahesabiwe ameanzisha thread. Ignore.
Mawazo yangu ni Sawa na ya Amunike, hafai timu ya taifa. Anarukiarukia Tu miguu ya wenzake uwanjani eti do or die, mbevuMkuu nimekuelewa nashangaa mtu mpira anaonekana haujui kabisaa harafu anataka kuuzungumzia na kuuchambua ni shida sana...
Mimi ninamsaidia awe bonge la mchezaji wetu wa kutumainiwa kama ataacha kuwasababishia wenzake majeraha ya kipuuzi. Unajua unapomkaba mwenzako lazima usisahau kuwa mchezo wa mpira ndiyo ajira yenu nyote ambayo inategemea miguu yenye afya.
So far takwimu zinasema kashatengua wachezaji wangapi??Mimi ninamsaidia awe bonge la mchezaji wetu wa kutumainiwa kama ataacha kuwasababishia wenzake majeraha ya kipuuzi. Unajua unapomkaba mwenzako lazima usisahau kuwa mchezo wa mpira ndiyo ajira yenu nyote ambayo inategemea miguu yenye afya.
Huo ni upuuzi, gadiel hapa ameingiaje? Kumbe ww unaongelea usimba na Yanga, mm siko huko. Gadiel ameitwa bondeni kufanya majaribio wakti Zimbwe tunaye hapahapa, wanalingana?Au wewe ni Gadiel Michael uko hapa kumpiga mwenzako majungu ukihisi kwa kiwango chake cha uchezaji kwa sasa anaweza kuitwa kwenye timu ya taifa na wewe ukasugua bench kwenye mashindano ya AFRICON.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimbwe anacheza CAF Champions League hatua ya Robo Fainali,unasemaje na hapo??Huo ni upuuzi, gadiel hapa ameingiaje? Kumbe ww unaongelea usimba na Yanga, mm siko huko. Gadiel ameitwa bondeni kufanya majaribio wakti Zimbwe tunaye hapahapa, wanalingana?
Nadhani unaongelea habari za akina Kagere, Niyonzima, Chama, Okwi, Juko, Wawa, Zana, Gyan, Kwasi walioifikisha Simba huko unakosema sio Zimbwe jr.Zimbwe anacheza CAF Champions League hatua ya Robo Fainali,unasemaje na hapo??
Sent using Jamii Forums mobile app