Zimbwe jr hapaswi kuichezea taifa stars kwasasa.

Sijaona mchezaji fundi kama zimbwe bongo now
dogo yuko vzr, sema kwa ukabaji kweli ana ukabaji wa kuumiza hata mechi ya jana kama si refa kuwa muungwana angelimwa red card
 
ameshapewa kadi ngapi kwa kuparamia wachezaji wenzie?
mkuu acha wivu wa kike Tshabalala ni bonge la player.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka marefa wetu ni vile Tu wanazibeba Sana Simba na Yanga vinginevyo Hussein Zimbwe angekuwa anapewa Kadi nyekundu kila mechi. Hata na TP Mazembe alisamehewa Tu lakini akienda kucheza vile Lubumbashi atapewa nyekundu
 
Zimbwe anafaa kucheza Stars dogo anajituma na mpira anajua ni beki yule sio forward na mpira sio lele mama kama unavyodhania...Zimbwe mpira anaujua anapanda na kushuka na pass ndefu zenye madhara anapiga nyingi kuchukua mpira mguuni kwake ni ngumu hata kama anakuchukulia kademu mtaani kwenu punguza chuki zisizo na faida kwa Taifa... unamuacha mchezaji anacheza mashindano makubwa ya klabu na ni tegemeo jua unaemuacha una matatizo sio bure....
 
Huezi kuchezesha Kwa shinikizo mchezaji ambaye unamfahamu wakati wowote anaweza kuigharimu timu yako. Kocha wa hivyo labda awe Baba yako wa kambo. Unadhani akirukia kipuuzi mguuni mwa mchezaji wa Liverpool, Man U, Barca, Arsenal, Madrid huko Afcon refa atamchekea. Suarez alikuwa mchezaji mzuri lakini Kwa tabia yake ya kunyata wenzake alikuwa anakosa timu
 
Huezi kuchezesha mchezaji ambaye wakati wowote anaweza kuigharimu timu. Kocha wa hivyo labda awe Baba yako wa kambo. Unadhani akirukia kipuuzi mguuni mwa mchezaji wa Liverpool, Man U, Barca, Arsenal, Madrid huko Afcon refa atamchekea.
Samahani kwa kukueleza ukweli mpira wa miguu haujui Mkuu...kuruka kwa kipuuzi mguuni mwa mchezaji wa Liverpool duu lugha ya wapi hii...
 
Mkuu huyo anataka attention. Mpira wa miguu na yeye mbalimbali. Anataka tu ahesabiwe ameanzisha thread. Ignore.
 
Mkuu nimekuelewa nashangaa mtu mpira anaonekana haujui kabisaa harafu anataka kuuzungumzia na kuuchambua ni shida sana...
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Wacha aichezee Simba kwanza atafakari kwanini ameachwa kikosi cha stars. Kwaakili zenu fupi mnadhani Amunike amemuacha Kwa bahati mbaya, mbona alimuacha na timu ikaingia Afcon?
 
Mkuu nimekuelewa nashangaa mtu mpira anaonekana haujui kabisaa harafu anataka kuuzungumzia na kuuchambua ni shida sana...
Mawazo yangu ni Sawa na ya Amunike, hafai timu ya taifa. Anarukiarukia Tu miguu ya wenzake uwanjani eti do or die, mbevu
 
Au wewe ni Gadiel Michael uko hapa kumpiga mwenzako majungu ukihisi kwa kiwango chake cha uchezaji kwa sasa anaweza kuitwa kwenye timu ya taifa na wewe ukasugua bench kwenye mashindano ya AFRICON.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko ni kumchafua mchezaji kijinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninamsaidia awe bonge la mchezaji wetu wa kutumainiwa kama ataacha kuwasababishia wenzake majeraha ya kipuuzi. Unajua unapomkaba mwenzako lazima usisahau kuwa mchezo wa mpira ndiyo ajira yenu nyote ambayo inategemea miguu yenye afya.
 
So far takwimu zinasema kashatengua wachezaji wangapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Au wewe ni Gadiel Michael uko hapa kumpiga mwenzako majungu ukihisi kwa kiwango chake cha uchezaji kwa sasa anaweza kuitwa kwenye timu ya taifa na wewe ukasugua bench kwenye mashindano ya AFRICON.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni upuuzi, gadiel hapa ameingiaje? Kumbe ww unaongelea usimba na Yanga, mm siko huko. Gadiel ameitwa bondeni kufanya majaribio wakti Zimbwe tunaye hapahapa, wanalingana?
 
Back
Top Bottom