Zimbwe jr hapaswi kuichezea taifa stars kwasasa.

Shabalala anacheza mpira lakini usiovutia, anarukia na kuparamia wachezaji wenzake uwanjani, anatumia fujo kunyang'anya mpira wenzake wanaojali afya zao wasiumizwe na uchezaji wake usiozingatia wala kujali afya za wengine.

Kwa uchezaji wake ni rahisi mno kutolewa nje Kwa Kadi nyekundu na kuitia hasara taifa stars. Finali za Afcon referees wako makini Sana kuwalinda wachezaji nyota wasiparamiwe ovyo uwanjani na mashabalala. Hivyo, wachezaji wetu lazima wafahamishwe mapema ili wasije wakapewa Kadi nyingi nyekundu Kwa kuparamia wachezaji wenzao kama wanavyofanya kwenye ligi yetu.
pia toa wachezaji wawili hadi watatu kucheza beki ya kucshoto ndo utakuwa umesaidia
 
Ninja ni mchezaji Wa hovyo Sana ajakomaa kisoka mchezaji mwenye weredi utakiwi kuogopwa kwa rafu uogopwe kwa kucheza kandanda safi
Ninja humjui ww. Siku moja nlimsikia akisema mazoezini kuwa "Namna ninavyoungia mm forward hawezi thubutu kuingia na kama ataingia atajichanganya na nitamfanya kitoeo cha mfano' Ninja anavunja mtu na anataka aogopeke kwa namna hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shabalala anacheza mpira lakini usiovutia, anarukia na kuparamia wachezaji wenzake uwanjani, anatumia fujo kunyang'anya mpira wenzake wanaojali afya zao wasiumizwe na uchezaji wake usiozingatia wala kujali afya za wengine.

Kwa uchezaji wake ni rahisi mno kutolewa nje Kwa Kadi nyekundu na kuitia hasara taifa stars. Finali za Afcon referees wako makini Sana kuwalinda wachezaji nyota wasiparamiwe ovyo uwanjani na mashabalala. Hivyo, wachezaji wetu lazima wafahamishwe mapema ili wasije wakapewa Kadi nyingi nyekundu Kwa kuparamia wachezaji wenzao kama wanavyofanya kwenye ligi yetu.
Kuna referees Wengine zaidi ya Hawa wanaochezesha vilabu vyetu Africa... .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huyo Amunike wenu mwambie hata asiite mchezaji hata mmoja Simba fresh tu tumeshacheza na klabu vigogo Africa inatosha, km unaota stars kumzuia Senegal, Algeria na beki Gadiel Michael, Yondani kutokufunga wafwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba kuna ninii? Wanaocheza kila siku pale ni Kagere, Chama, Okwi, Juko, Gyan, Zana, Niyonzima, Kwasi, Wawa. Kidooogo anakuwepo Nyoni, Bocco, Manula na Shabalala ambae ana uhakika wa kupewa Kadi kila mechi Kwa kurukia vibaya miguu ya wenzie.
 
Umeshinda
Jitihada haishindi kudra. Hakuna bahati isiyokuwa na mipaka, bahati ya Simba iliishia kwenye robo fainali. Hakuna duniani timu ambayo imewahi kufungwa 5-0, 5-0, 3-0 na 4-1 kwenye mashindano fulani kisha ikalitwaa kombe la mashindano hayo. Nitajie timu hiyo kama ipo.
Hata kufika robo fainali kunahitajika kuundiwa tume ya kuchunguza ilifikaje timu ya namna hiyo.
 
Kwenye makundi Mwaka 2003 alipigwa 6-1 na Na Ismaily na baadae akaja kuchukua ubingwa kwa kuifunga iyo iyo Ismaily....mpira wa kiafrica Timu kufungwa ugenini ni Jambo la kawaida Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye makundi Mwaka 2003 alipigwa 6-1 na Na Ismaily na baadae akaja kuchukua ubingwa kwa kuifunga iyo iyo Ismaily....mpira wa kiafrica Timu kufungwa ugenini ni Jambo la kawaida Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupigwa 6-1 mechi moja kwenye mashindano sio shida ni kuteleza Tu na kuamka vibaya lakini sio 6-1,6-1, 4-1, 3-0. Timu ya hivyo ni mbovu pahala fulani
 
Matokeo hayo kwa Nchi za kiafrica Ni kawaida, mazembe kwenye makundi kafungwa na Constantine 3-0 ugenini ila kajipanga kaja kutoa sare 0-0 ugenini kwaio kadri michuano inavyoenda mbele Timu inabadilika Simba kufungwa 4-1 unaona kabisa tulifunguka kutokana matokeo ya 2-1 hayakua na faida kwetu ndomana tukafungwa magoli Yale sema tungekua hatujakosea mechi ya DSm magoli yasingefika vile.

Mngeshinda Dar mngepigwa 8-1 Kamalando Stadium!!!
 
Back
Top Bottom