Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Emanuel Giniki Gisamoda na Gabriel Gerald Geay ni Wanariadha Wawili mpaka sasa wanaotarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Dunia yatakayofanyika Eugene, Oregon nchini Marekani, kuanzia Tarehe 15 julai Hadi Agosti 25.
Zimebaki takribani siku 50 kabla ya wao kwenda kutupa karata yao ya Kusaka Medali katika Mashindano hayo.
Pichani ; ni Emanuel Giniki Gisamoda akimaliza na kushinda Marathon yake ya kwanza huko Geneva, Uswisi Kwa muda wa 2:10:39.