Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Sio kilio ni Hali ya Hewa imekuwa Ngumu na anamalizia Mbio, amewaacha Watu nyumaMbona analia🤔🤔
Shamba la Bibi, TOC imeharibu Riadha Tanzania.Chama cha riadhaa kitaenda na msafara wa watu 50 + hao wachezaji
Ili kulipana per diem
Lakini kuwekeza kwenye wachezaji na mchezo ni sarakasi
Kila la heri kwao wakimbiaji wetu
Hapo ndio bongo inapo tushangazaShamba la Bibi, TOC imeharibu Riadha Tanzania.
Wanajiandikia Per diem za kutosha, kwa kuwa Watanzania wapo kimya nchi inaliwa mdogo mdogo, hasa TOC wanaongoza , kinara akiwa Filbert Bayi Sanka.Hapo ndio bongo inapo tushangaza
Delegation inakuwa kubwa wavuja jasho hawathaminiki