Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Inawezekana maana hapo jumanne lazima aapishwe.Tusubiri jumatatu labda.
Hamna VP hapo bwasheeLabda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Nina mashaka hapa mkuu maana sitegemei awe mwanamke.. wala awe wa imani moja na mhe Rais na ofcourse hawezi kuwa Membe.Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
January atatufaaLabda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Kwenye orodha hiyo muislamu ni mmoja!Nina mashaka hapa mkuu maana sitegemei awe mwanamke.. wala awe wa imani moja na mhe raisi na ofcourse hawezi kuwa Membe.
Utanikumbuka Jumanne bwashee!Hamna VP hapo bwashee
Labda lakini usisahau kuwa aliutamani urais!January atatufaa
Hahahaaa ila Membe katika watu wamechanganyikiwa na huu msiba ni Ben M. Yaaani angekuwa kule chama kubwa bado alikua anateleza tu nafasi hiyo halafu ajipange 2025Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015...
Upupu mtupuLabda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015...
Wanawake wawili out, Membe out na Makamba out kwa kigezo cha dini.Kwenye orodha hiyo muislamu ni mmoja!
Kwa lepi? mahaba mengineJanuary atatufaa
Yaani mwanamke wa pili?😆field Marshall, Hon. Gwajima (she)...sitak mje mniite nabii