Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015

Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.

Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Hamna Makamu hapo, Migiro no, January no, no, no, Membe asubiri kulima korosho kijijini Rondo
 
Udini, Udini, Udini, unakusaidia niniiiii????????!??????
 
Salamu wakuu

Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.

Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Tufafanulie basi hivyo vifungu mkuu vya katiba ndo tuanze mjadala!
 
Umeongea sahihi kabisa!we mwanasheria mmbobezi nini🤗🤗🤗
 
Sasa VP anapotakiwa kutoka Zanzibar, huyo mkristo unampata wapi na atakubalika na wazanzibar???
Siku hizi wapo wengi tu. Unguja kuna wilaya 7. Ina wakuu wa wilaya 2 wakristo. Kwa hiyo hata akihitajika VP mkristo atapatikana tu.
 
Ibuge ni Magufuli alimuacha ashike vyeo viwili, Chief of Protocol na Katibu Mkuu Foreign Affairs, ndo mana yupo pale
 
Kama mzee Mangula ni lazima apige vema basi sioni kikwazo kwa Nchimbi maana hao ndio walikuwa CCM kindakindaki, wanakijua chama na wakati wa uongozi wao hapakuwa na hizi habari za ukanda na MATAGA PRAISE TEAM.

We ndo hujui lolote. So CCM ya Nchimbi Ni better than CCM ya JPM. Are you serious? Or just hate
 
Member hakuhama, alifukuzwa. Ikitokea ndani ya siku 10 hizi chama kimeshamsamehe si anaweza kuteuliwa?
 
Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015

Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.

Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Usiwe mjinga, Makamu wa Rais hatakiwi kuwa na mawazo ya kugombea urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…