Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

Naona lukuvi akiwa ana ulinzi wa kificho sijajua atakua na post ipi.
Uko makini mno wewe!..Yule Yuko njema...hana dhihaka....huchukulia kila jambo kwa Uzito,anatambua mpaka thamani,Uzito na umuhimu wa UPINZANI...na kupambana nao kwa kadri Sterling Mkuu alivyo.._Kina Patrick Ole Sossopi Kwake ni wapinzani,japo ni wajukuu Kwake..hawabezi..ni kufa na kupona.
 
Naona upepo VP unavuma kutokea kasikazini magharibi mwa Tanzania tena ziwani huko vijijini.
IMG-20201106-WA0005.jpg

Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu

Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.

Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
17/03/2021 makamu wa Rais bado alikuwepo, siku Mama Samia ameapishwa kuwa Rais ndo nafasi ya Makamu ilibaki wazi... hivyo hesabu toka tarehe 19/03/21 deadline (siku ya mwisho) ni 02/04/2021
 
Salamu wakuu

Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.

Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Mkuu umeyatoa wapi haya maana mapya
 
Udini usipewe nafasi maana serikali haina dini!

Apatikane mtu mwenye uwezo mzuri wa kutumikia waTZ kwa ufanisi mkubwa ili tusonge mbele.
 
Salamu wakuu

Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.

Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Yaa tupo bize ikulu hapa tunachakata mambo,,,,sema tu tutawaletea mtu anaezijua Siri za nchi hii yasitokeee kama yajana eti amir jésh mkuu apewe Siri zanchi n'a jeneral,,
 
Kwani hivi sasa nini kinamzuia?
Hahahaaa ila Membe katika watu wamechanganyikiwa na huu msiba ni Ben M. Yaaani angekuwa kule chama kubwa bado alikua anateleza tu nafasi hiyo halafu ajipange 2025
 
Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015

Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.

Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Huwezi kuweka makamu mtu uliyelingana nae kimo w vp kanuni za uongozi zinakataa...
 
Back
Top Bottom