Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Uko makini mno wewe!..Yule Yuko njema...hana dhihaka....huchukulia kila jambo kwa Uzito,anatambua mpaka thamani,Uzito na umuhimu wa UPINZANI...na kupambana nao kwa kadri Sterling Mkuu alivyo.._Kina Patrick Ole Sossopi Kwake ni wapinzani,japo ni wajukuu Kwake..hawabezi..ni kufa na kupona.Naona lukuvi akiwa ana ulinzi wa kificho sijajua atakua na post ipi.
17/03/2021 makamu wa Rais bado alikuwepo, siku Mama Samia ameapishwa kuwa Rais ndo nafasi ya Makamu ilibaki wazi... hivyo hesabu toka tarehe 19/03/21 deadline (siku ya mwisho) ni 02/04/2021Wakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Sasa VP anapotakiwa kutoka Zanzibar, huyo mkristo unampata wapi na atakubalika na wazanzibar???Mbona Kikwete alikuwa na Shein na Bilal wote waislamu?
Hili suala la dini ni serious? Maana JK alikuwa na PM muislam.
Mkuu umeyatoa wapi haya maana mapyaSalamu wakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Jakaya Kikwete makamu alikuwa Gharibu Bilali. Kama kigezo ni dini kwanini hakumteua Jaji Agustino Ramadhani mzanzibari mkristo(anglikana)Mimi ninajua ni muislam.
Katiba ndo inasema ngoja nifunue nionyeshe vifunguNi kweli katiba inasema hivyo au mmesikia tu fulani kasema?
Ngoja nifunue makaratasiWeka hapa hicho kifungu mkuu.
Yaa tupo bize ikulu hapa tunachakata mambo,,,,sema tu tutawaletea mtu anaezijua Siri za nchi hii yasitokeee kama yajana eti amir jésh mkuu apewe Siri zanchi n'a jeneral,,Salamu wakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
January Yusuf maropeKwani January dini gani?
Ila anagonga mdudu hatari.Mimi najua ni muislam.
Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Kwani January dini gani?
Hahahaaa ila Membe katika watu wamechanganyikiwa na huu msiba ni Ben M. Yaaani angekuwa kule chama kubwa bado alikua anateleza tu nafasi hiyo halafu ajipange 2025
Huwezi kuweka makamu mtu uliyelingana nae kimo w vp kanuni za uongozi zinakataa...Labda atatoka kwenye orodha ya majina 5 yaliyoingia fainali 2015
Walikuwa Magufuli, Amina, Migiro, January na Membe.
Ukiangalia vizuri unamuona makamu hapo!
Huyo harudi kwenye baraza la mawaziri hata siku moja...Wivu tu. Jiandae kisaikolojia