Acha utani jovitha,nenda PM ukafanye review za chats utazikuta..au tuma tena.nina ujumbe mwema kwakoHahaa sizikumbuki
Basi akajambe mbele asinitoe kwenye reli. Ngoja nije kwenye uzi wa Juicy nimeambiwa unaniita
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weee cku hyo basi nitabundwa mana kubambia vya watu lazima tuUkipigwa usilalamike. Watu tutakuja na mabeb zetu ujue
Sasa hamuoni kuwa mnakosea kusema max atakuwa mgeni rasmi kama hajathibitisha kushiriki?. Wot if kuna watu wanataka kuja kwa sababu wamesikia max atakuwepo
Hahaa,wenda ni kweliHuwezi jua na yeye mwanamke mkuu usiseme anajiabisha kumbe mwenzetu. Si wajua mwanamke mnyime hela ila sio kubishana eeh
Kama huna hela,sema ulipiwe[emoji121]
WAKUU,
KIASI CHA MCHANGO KIKISHUKA KUFIKIA BUKU_5
NIJUZENI FASTE NIHUDHURIE !!!!
Natafuta kazi za ndani.....Mshahara maelewano - JamiiForumsUfahamu mzuri sidhani. Ndo nampita kimya kimya kama simuoni.
Ana kiherehere huyu binti sijui dume!!! Aliwahi kufungua uzi kuwa espy ndio atoto sijui hata nani alimuuliza!!!!
Achana nae mama, just do you. Kujifanya mjuaji kila jambo anajua yeye.
KaribuHahahaaa
YANANIHUSU SANA.Hayakuhusu
Huu uzi mbona wa kitambo sana.... four years back... Duhhh
Mkuu tangu siku ile nikwambie ukweli kuhusu uchafu wa chumba chako ninaona bado umebaki na kinyongo moyoni.Embu Fanya Kama huzioni post zake!! Huyo anajitoa tu akili. Ila Ana ufahamu wake tu mzuri asikuchoshe jmn
ππππππ Sawa sikuhizi nasafishaMkuu tangu siku ile nikwambie ukweli kuhusu uchafu wa chumba chako ninaona bado umebaki na kinyongo moyoni.
Jitahidi kusafisha chumba pia jitahidi uweke tiles chumba chako .
Lini niliwahi kukufungulia uzi???Ana kiherehere huyu binti sijui dume!!! Aliwahi kufungua uzi kuwa espy ndio atoto sijui hata nani alimuuliza!!!!
Achana nae mama, just do you. Kujifanya mjuaji kila jambo anajua yeye.
TELEGAM GROUP CHAT LIKO HAPA UNAWEZA PITIA KWA WAPENZI WA CHIT CHAT >>>>>JF CHATHabari za jioni Wakuu.
Zimebaki week tano kufanyika JF get together party na week nne za kuwasilisha michango.
Siku ya mwisho ya kutoa mchango ni tarege 8/12 na siku yenyewe maalum kabisa itakua tarehe 15/12 siku ya jumamosi.
Hivyo basi wale wenye nia ya kushiriki nasi karibuni nyote tukafurahi kwa pamoja
Kwa maelezo zaidi mnaweza kupata kupitia huu uzi
JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums
Madame B