Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Zimebaki Week 5 Kufanyika JF Get Together Party 2018

Max na Jamii Media wamethibitsha kushiriki kabla hujaandika uzi rasmi wa venue na siku ya party. Niliandika kuhusu Max kuwa mgeni rasmi sio kutoshiriki.
Sasa hamuoni kuwa mnakosea kusema max atakuwa mgeni rasmi kama hajathibitisha kushiriki?. Wot if kuna watu wanataka kuja kwa sababu wamesikia max atakuwepo
 
Embu Fanya Kama huzioni post zake!! Huyo anajitoa tu akili. Ila Ana ufahamu wake tu mzuri asikuchoshe jmn
Mkuu tangu siku ile nikwambie ukweli kuhusu uchafu wa chumba chako ninaona bado umebaki na kinyongo moyoni.


Jitahidi kusafisha chumba pia jitahidi uweke tiles chumba chako .
 
Ana kiherehere huyu binti sijui dume!!! Aliwahi kufungua uzi kuwa espy ndio atoto sijui hata nani alimuuliza!!!!

Achana nae mama, just do you. Kujifanya mjuaji kila jambo anajua yeye.
Lini niliwahi kukufungulia uzi???

Huyo atoto simjui wala sijawahi kulisikia hilo jina na wewe pia sikujui, ndio kwaanza nimekuona leo .
 
Habari za jioni Wakuu.

Zimebaki week tano kufanyika JF get together party na week nne za kuwasilisha michango.
Siku ya mwisho ya kutoa mchango ni tarege 8/12 na siku yenyewe maalum kabisa itakua tarehe 15/12 siku ya jumamosi.
Hivyo basi wale wenye nia ya kushiriki nasi karibuni nyote tukafurahi kwa pamoja

Kwa maelezo zaidi mnaweza kupata kupitia huu uzi
JF-get together party Disemba 2018 - JamiiForums

Madame B
TELEGAM GROUP CHAT LIKO HAPA UNAWEZA PITIA KWA WAPENZI WA CHIT CHAT >>>>>JF CHAT
 
Back
Top Bottom