Njoo hapa ndaniNisubiri hapi
Njoo MalaikaNdo nimetoka hapa chako ni chako,
Narejea kuulaza
Max amekataa ingekuwa maongezi ya PM yanaruhusiwa jukwaani ningeweka hapaMax na Jamii Media wamethibitsha kushiriki kabla hujaandika uzi rasmi wa venue na siku ya party. Niliandika kuhusu Max kuwa mgeni rasmi sio kutoshiriki.
Vyumaaa
Poleni mkuu. Mwakani itabidi tuchague nchi ya kwenda kukutana wana JF
Max amekataa ingekuwa maongezi ya PM yanaruhusiwa jukwaani ningeweka hapa
Sio ya embe tu Hadi juice ya mapapai itakuwepo [emoji23][emoji23][emoji23]Kutakuwa na juisi ya Embe
Karibu sana mama.
Sawa.ππππππ Sawa sikuhizi nasafisha
African House Lounge Kinondoni mkuu
Nipo lovely mum, wewe ndiyo umepotea!!Upo weyee